Waziri Mwijage: Mimi ni 'propagandist' niliyesomea China. Aagiza tani 20,000 ya sukari bandarini itolewe

Waziri Mwijage: Mimi ni 'propagandist' niliyesomea China. Aagiza tani 20,000 ya sukari bandarini itolewe

Yaani una tani 43,000 wakati matumizi ya mwezi ni tani 40,000 Waziri anasema ana sukari ya kutosha? Kweli ? What ?

Jamani Mh. Rais fukuza huyu mtu he is very short sighted, ndio naona sasa. Yeye ndie anatakiwa aje na sera na mikakati mipya ya Tanzania ya viwanda, sasa anawataka wabunge wamletee mikakati..

Omg, huyu Mwijage mbona haendani na vision ya mh. Rais wetu kabisa
Mawaziri wote hadi bosi wao aliyewateua hawana maono yoyote ya kuifikisha Tanzania ktk uchumi wa viwanda
 
Yaani una tani 43,000 wakati matumizi ya mwezi ni tani 40,000 Waziri anasema ana sukari ya kutosha? Kweli ? What ?

Jamani Mh. Rais fukuza huyu mtu he is very short sighted, ndio naona sasa. Yeye ndie anatakiwa aje na sera na mikakati mipya ya Tanzania ya viwanda, sasa anawataka wabunge wamletee mikakati..

Omg, huyu Mwijage mbona haendani na vision ya mh. Rais wetu kabisa
Some uelewe sio kila kitu ushabiki mambo mengine tunatakiwa kuwa wastarabu tons 43000+20000 za bandarini + wiki tatu uzalishaji unaanza tatizo lako nini? Kwenye hoja hiyo.
 
Kama yeye Ni propagandist ndiyo apige propaganda kwenye duals nyeti la sukari?
Sukari sio suala nyeti linakuzwa ili liwe nyeti na wafanyabiashara wasio waaminifu ambao hutumia wanasiasa walafi kukidhi haja yao ya uhalifu wa kibiashara
 
Huyu jamaa hata spika alimshitukia saund zake, akamwambia kajipange upya na majibu yake.

Mwijage haoingei ili watu waelewe, bali anaongea ili amalize.
 
Msilaumu, hapo ndio ameperform full capacity, na hili ndio tatizo la mawaziri na wengi walio kwenye system. Uwezo mdogo kiakili na exposure ndogo ya kiutendaji hivyo wengi wanajitahidi kufanya kazi kweli lakini shida ni uwezo mdogo kiakili.. Ukiwa na uwezo mdogo kiakili na low exposue hata ufanye kazi kiasi gani lazima uunderperform tu..vijana wa mjini husema "akili yake ndio ilipoishia"

Kama mtu hakuwahi kufanya kazi popote pale kwenye ngazi ya maamuzi yeye kama top incharge na akaachieve abcd unampa uwaziri unategemea nini kama sio maajabu, hili ni tatizo litokanalo na CCM kulea watendaji kisias ili yenyewe iendelee kutawala na sio kulea watu kwa manufaa ya taifa.. CV ni kuwa UVCCM, UWT, CCM na MP...
 
Mwijage Ni Al sahaf wa Magufuli

Ila Mie huwa naburudika kumsikiliza
 
Sijui JPM alimuokota wapi huyu Mwijage? Sijui walisoma wote na ni washkaji? Jamaa ni kama comedian flani hivi. Majibu yake mara nyingi hayana substance.
Hawezi kumtumbua bila kumbembeleza just like Bashite. Nadhani hawa watu wanashikilia ndumba zake wasije nao wakamwaga mboga endapo atawamwagia ugali
 
Yaani una tani 43,000 wakati matumizi ya mwezi ni tani 40,000 Waziri anasema ana sukari ya kutosha? Kweli ? What ?

Jamani Mh. Rais fukuza huyu mtu he is very short sighted, ndio naona sasa. Yeye ndie anatakiwa aje na sera na mikakati mipya ya Tanzania ya viwanda, sasa anawataka wabunge wamletee mikakati..

Omg, huyu Mwijage mbona haendani na vision ya mh. Rais wetu kabisa
Bro umekuwaje leo?
Mbona unamgeuka mwana propaganda mwenzio?
Siku zote tunapiga kelele kuwa huko kijanini kuna tatizo lkn mnaishia kututukana, umeona huu upuuzi sasa?
 
Ningekuwa na mamlaka,huyu ndio angekuwa waziri wa kwanza kumfukuza kazi.
Mwijage ana kosa gani? hayo anayoyafanya ndio hasa kinachofanywa na serikali kwani kwa sasa anayedanganya ili kuitetea Serikali ndio hasa anayependwa na kuthaminiwa kuliko anayesema ukweli. unakumbuka issue ya Nape?
 
Niliwahi kusema huyu ni mropokaji hana lolote. Kama alidiriki kusema kiwanda ni vyerehani 4 halafu unafikiri ana akili timamu ya kuwa waziri?
 
Huyu mzee sijui walimuokota wapi?

Wanaruka sarakasi zisizoeleweka, walisababisha sukari ikapanda bei leo hilo hawalioni ila wanakuja na ngonjera nyingine bahati mbaya hakuna wanalofanya likafanikiwa.
 
Kwanza anadai kuwa alitegemea kuteuliwa waziri wa wizara nyeti kwa kuwa ni msomi. Huwa napenda kumsikiliza kwa sababu ni comedian flani hivi. Najua hawezi kuniongezea chochote katika maisha yangu kama alivyo Boss wake! So muacheni akae hapo ili niwe nacheka walau.
 
Sukari na Mafuta ni mwiba ulioishibda serikali. Tangu wanaingia madarakani, kelele haziishi
 
mimi ni ‘propagandist’ niliyesomea China,” amesema.
Kama ni kweli basi hata elimu ya uchina imeanza kupolomoka!
 
Wataalam wa logistics, stock control wanacheka jinsi kufanya demand forecasting kunavyosumbua mawaziri/wizara.
 
Back
Top Bottom