gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
Mawaziri wote hadi bosi wao aliyewateua hawana maono yoyote ya kuifikisha Tanzania ktk uchumi wa viwandaYaani una tani 43,000 wakati matumizi ya mwezi ni tani 40,000 Waziri anasema ana sukari ya kutosha? Kweli ? What ?
Jamani Mh. Rais fukuza huyu mtu he is very short sighted, ndio naona sasa. Yeye ndie anatakiwa aje na sera na mikakati mipya ya Tanzania ya viwanda, sasa anawataka wabunge wamletee mikakati..
Omg, huyu Mwijage mbona haendani na vision ya mh. Rais wetu kabisa