gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
Mawaziri wote hadi bosi wao aliyewateua hawana maono yoyote ya kuifikisha Tanzania ktk uchumi wa viwandaYaani una tani 43,000 wakati matumizi ya mwezi ni tani 40,000 Waziri anasema ana sukari ya kutosha? Kweli ? What ?
Jamani Mh. Rais fukuza huyu mtu he is very short sighted, ndio naona sasa. Yeye ndie anatakiwa aje na sera na mikakati mipya ya Tanzania ya viwanda, sasa anawataka wabunge wamletee mikakati..
Omg, huyu Mwijage mbona haendani na vision ya mh. Rais wetu kabisa
Jirani yake Mulokozi.....hahahahahaHaha mwijage bk kamachumu mokoooo
Some uelewe sio kila kitu ushabiki mambo mengine tunatakiwa kuwa wastarabu tons 43000+20000 za bandarini + wiki tatu uzalishaji unaanza tatizo lako nini? Kwenye hoja hiyo.Yaani una tani 43,000 wakati matumizi ya mwezi ni tani 40,000 Waziri anasema ana sukari ya kutosha? Kweli ? What ?
Jamani Mh. Rais fukuza huyu mtu he is very short sighted, ndio naona sasa. Yeye ndie anatakiwa aje na sera na mikakati mipya ya Tanzania ya viwanda, sasa anawataka wabunge wamletee mikakati..
Omg, huyu Mwijage mbona haendani na vision ya mh. Rais wetu kabisa
Sukari sio suala nyeti linakuzwa ili liwe nyeti na wafanyabiashara wasio waaminifu ambao hutumia wanasiasa walafi kukidhi haja yao ya uhalifu wa kibiasharaKama yeye Ni propagandist ndiyo apige propaganda kwenye duals nyeti la sukari?
Hawezi kumtumbua bila kumbembeleza just like Bashite. Nadhani hawa watu wanashikilia ndumba zake wasije nao wakamwaga mboga endapo atawamwagia ugaliSijui JPM alimuokota wapi huyu Mwijage? Sijui walisoma wote na ni washkaji? Jamaa ni kama comedian flani hivi. Majibu yake mara nyingi hayana substance.
Bro umekuwaje leo?Yaani una tani 43,000 wakati matumizi ya mwezi ni tani 40,000 Waziri anasema ana sukari ya kutosha? Kweli ? What ?
Jamani Mh. Rais fukuza huyu mtu he is very short sighted, ndio naona sasa. Yeye ndie anatakiwa aje na sera na mikakati mipya ya Tanzania ya viwanda, sasa anawataka wabunge wamletee mikakati..
Omg, huyu Mwijage mbona haendani na vision ya mh. Rais wetu kabisa
Mwijage ana kosa gani? hayo anayoyafanya ndio hasa kinachofanywa na serikali kwani kwa sasa anayedanganya ili kuitetea Serikali ndio hasa anayependwa na kuthaminiwa kuliko anayesema ukweli. unakumbuka issue ya Nape?Ningekuwa na mamlaka,huyu ndio angekuwa waziri wa kwanza kumfukuza kazi.
Hata mimi sijui....Mimi huo ukanda ni mgeni kidogo! lla Muleba kusini ndo kwa mama wa hela za mboga bana!