Waziri Mwijage: Mimi ni 'propagandist' niliyesomea China. Aagiza tani 20,000 ya sukari bandarini itolewe

yan nngekuwa mchawi nshamloga coz kumtoa siwezi bora nmloge tu,jamaa anaturudisha nyuma sana huyu shenzi kabisa....
 
Mkuu,,unahoja nzuri ,tatizo umekosea mahali pa kuipeleka,,,jiwe is worse than mwijage
 
Tunatumia Tani 40,000 kwa mwezi, tuna Tani 43,000 unasema tunayo ya kutosha??? Mh Kamtoa wapi huyu
 
Huyu kweli propagandist ndio maana anatuambia awamu hii imejenga viwanda 60,000 chakushangaza hajatupa takwimu za ajira hivyo viwanda vilizozalisha. Viwanda anajenga kipropagandist mpaka 2020 atakuwa ameshajenga viwanda 200,000 kipropagandist.
hahaha yy anahesabu cherehan 4 ni kiwanda hahah huyu angetakiwa awe bongo movie
 
Tatizo bei. Kwanini itofautiane sana na Zbar?
 
sijawahi ona mtu anajisifu kuwa mwanapropaganda!!!
 
amfukuze wakat majibu yake "yanaridhisha"????
 
1. Nchi inatumia tani 40,000 kwa mwezi na waziri anasema ana stock ya 43,000 hivyo inatosha! kichekesho
2. Yeye ni muumin asingependa waislam wafunge na shida ya sukari! it means tunatafuta ufumbuzi wa sukari ajili ya mfungo na hatuangalii taifa limeteseka vp kipnd chote walivyoitoa sukari 1800 na sasa imewagomea kurud. kichekesho
 
Blaaaablaaablaaablaaaa. Stringler's. Maparachichi/choroko.com
 
Msikilize Mh Mwijage , bila shaka utajifunza jambo


Your browser is not able to display this video.
 
Haya majibu ya propaganda kayatoa lini?? Mbona hajatoa namna ya kupambana na hizo propaganda zake sukari tuione mitaani??

Awe mkweli tu kwamba serikali inahitaji kupandisha bei ya sukari kama ilivyofanya last time.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…