Kichaka cha shida
Member
- Mar 1, 2018
- 46
- 24
yan nngekuwa mchawi nshamloga coz kumtoa siwezi bora nmloge tu,jamaa anaturudisha nyuma sana huyu shenzi kabisa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,,unahoja nzuri ,tatizo umekosea mahali pa kuipeleka,,,jiwe is worse than mwijageYaani una tani 43,000 wakati matumizi ya mwezi ni tani 40,000 Waziri anasema ana sukari ya kutosha? Kweli ? What ?
Jamani Mh. Rais fukuza huyu mtu he is very short sighted, ndio naona sasa. Yeye ndie anatakiwa aje na sera na mikakati mipya ya Tanzania ya viwanda, sasa anawataka wabunge wamletee mikakati..
Omg, huyu Mwijage mbona haendani na vision ya mh. Rais wetu kabisa
hahaha yy anahesabu cherehan 4 ni kiwanda hahah huyu angetakiwa awe bongo movieHuyu kweli propagandist ndio maana anatuambia awamu hii imejenga viwanda 60,000 chakushangaza hajatupa takwimu za ajira hivyo viwanda vilizozalisha. Viwanda anajenga kipropagandist mpaka 2020 atakuwa ameshajenga viwanda 200,000 kipropagandist.
amfukuze wakat majibu yake "yanaridhisha"????Yaani una tani 43,000 wakati matumizi ya mwezi ni tani 40,000 Waziri anasema ana sukari ya kutosha? Kweli ? What ?
Jamani Mh. Rais fukuza huyu mtu he is very short sighted, ndio naona sasa. Yeye ndie anatakiwa aje na sera na mikakati mipya ya Tanzania ya viwanda, sasa anawataka wabunge wamletee mikakati..
Omg, huyu Mwijage mbona haendani na vision ya mh. Rais wetu kabisa
1. Nchi inatumia tani 40,000 kwa mwezi na waziri anasema ana stock ya 43,000 hivyo inatosha! kichekeshoWaziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema nchi ina sukari ya kutosha na kilichojitokeza ni propaganda ya watu wasioitakia mema.
Akihitimisha hoja ya bajeti ya wizara yake ya mwaka 2018/19 leo Mei 11, 2018 bungeni, Mwijage amesema tayari ameagiza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Mamlaka ya Chakula la Dawa Tanzania (TFDA) kuiondoa sukari yote iliyopo bandarini.
Amesema yeye ni mcha Mungu na asingependa kuona Waislamu wanaotarajia kuingia katika mfungo wa Ramadhani wanapata shida ya kupata sukari.
Waziri Mwijage amesema hakuna tatizo la sukari kwani kuna akiba ya sukari tani 43,000 iliyopo katika stoo.
“Lakini Tanzania tunatumia tani 40,000 kwa mwezi,” amesema.
Amesema amewaagiza mameneja wa TBS na TFDA kuhakikisha tani 20,000 ya sukari iliyopo bandarini inaondolewa.
“Viwanda vya sukari vyote bado kama wiki tatu vinaanza kuzalisha. Suala la sukari lilikuwa ni propaganga na mimi ni ‘propagandist’ niliyesomea China,” amesema.
Kuhusu mazingira ya uwekezaji, Mwijage amesema amekuwa akipigania kuyafanya kuwa rafiki na kuwaomba wabunge wanapobaini kuwapo kwa changamoto zozote waziwasilishe kwake na hatua zitachukuliwa.
Pia, amesema amepokea maoni na ushauri wote uliotolewa na wabunge na kuahidi kuufanyia kazi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mwijage asipotumbuliwa mwaka huu basi ntamtafuta anielekeze mganga wake anapopatikana.
😆😆😆😆
Awamu ya 5 ni kanyaga twendeHaya majibu ya propaganda kayatoa lini?? Mbona hajatoa namna ya kupambana na hizo propaganda zake sukari tuione mitaani??
Awe mkweli tu kwamba serikali inahitaji kupandisha bei ya sukari kama ilivyofanya last time.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yuko vizuri!Msikilize Mh Mwijage , bila shaka utajifunza jambo
Hakika !Jamaa yuko vizuri!