Waziri na mbunge, Juma Aweso atinga na wake zake wawili bungeni, shangwe latawala. Kumbe wabunge wanapenda wake wengi kiasi hiki!


Nina wake wawili na bado nakusudia kuongeza wengine. Ndo kazi ya mwanaume.
 
Acha urongo.....mtoto wa mama yuko Kwa Mchengerwa
 
Katika viongozi wanaume waislamu walioko Serikalini wanaojielewa kwenye kuoa ni Raisi Hussein Mwinyi Raisi wa Zanzibar pekee
Ana mke mmoja tu.

Wengine kadri madaraka na pesa zinavyoongezeka ndivyo wanavyoongeza wake
 
Mungu wasamehe waTZ, wengi hawana positive thinking ni CCM na Chadema, wamemaliza.
 
Unafki wa wanaume kwenye huu uzi ni wa kiwango cha lami

Wkt wana michepuko lukuki mafichoni
 
Umetufunga kamba unataka kusema mke wa manara ni mtoto wa Samia? Maana huyo ni Ndugu WA kuzaliwa na mke WA manara mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…