Waziri Nanauka: Serikali kuanzisha kampuni laki moja na ajira Milioni moja

Mnatuona mapoyoyo? Kila kampuni itakuwa na wafanyakazi 10? Ina tofauti gani na viwanda vya cherahani 4?
 
Upumbavu tu. Rubbish
 
Kampuni laki moja......!? Naomba tafsiri ya kampuni na magnitude yake nisije nikawaza kampuni kama maiklosofti kumbe ni vibanda vya chipsi.
Kama cherehani nne ni kiwanga (according to Mwijage) basi nadhani unaweza kuanzia hapo kupata picha
 
Njia nzuri na itakayokuwa na ufanisi ni kuwafuata vijana huko waliko kiuchumi ili kuwasaidia (mwenye nacho aongezewe kwa kuanzia). Waliopo kwenye kilimo wapewe tractors, power tillers, pembejeo, mbegu bora za mazao na mifugo na Utaalam kutoka maafisa ugani.
Mafundi wapewe vifaa vya kisasa na ufundi zaidi hasa wa ki electronic.
Wanaofanya kazi kwa wachina wasaidiwe kimkakati kuiba technolojia ili wakaanzishe viwanda kama hivyo baadaye.
Vivyo hivyo sekta zote.
Ni muhimu serikali iwe makini kuepuka miradi kama BBN isiyo ya kihalisia.
Kupanga kwa maneno ni rahisi sana kuliko kufanya kivitendo na kwa ufanisi.
Kwa ujumla jamii hutegemeana na kurithishana. Uchumi endelevu ni mtambuka na makundi hutegemeana. Kwa mtazamo mpana siyo lazima serikali kufikiria vijana tu, wapo watu wenye taaluma na uzoefu wanaoweza kutumiwa na serikali kutengeneza ajira kwa vijana kwa wingi zaidi na hatimaye hao vijana wapate uzoefu wa kuambukiza wengine wajao. Changamoto ya ajira kwa vijana haijaanza leo, ni endelevu kwani ilianza zaidi ya miongo minne iliyopita.
 
Nataka uthibitisho iwapo haya ni maneno ya muishimiwa Waziri ama ni wewe unamlisha maneno.Na ikiwa ni maneno yake kwakuwa umebeba jukumu la kumsemea,tupia hapa bajeti iliyotengwa kwa ajili ya mpango mkakati huo,na mchanganuo wa utekelezaji wa mpango huo.Bila kusahau kujibu swali kuwa je mpango huu ni wa dharura ama ni uliokuwa ndani ya bajeti iliyopitishwa hivi karibuni.
Hekaya za Abunuwasi.
Hiyo wizara ya dharura hiyo naamini kila kitu chake kitakuwa cha dharura dharura tu!
 
Ni jambo jema , kinacho takiwa ni
Implementations.

Lakini pia ili kuengeza mnyororo wa fedha kwa jamii zaidi.

Ni kwamba kila miradi inayofanyika na serikali, inabidi iwe implemented na wazawa .

Sgr, mwendo kasi, na miradi mengine yote kwa kutumia rasilimali watu na materials tulizo nazo kama ni chuma, nickel, gas ,oil cobalt, Cooper,
 
Dogo kashaingia mfumo wa kilaghai, vijana wasitegemee chochote kutoka kwake, hii ndio Tanzania ukiingia kwenye mfumo mnaenda kufanana akili hadi matendo.

Wanajisemea tumbo langu kwanza wengine kudra ya mwenyezi
 
Huyu naye ni kafulila mwingine tu fala huyu.

Ila samuya bwana yaan ameua vijana, halafu eti akaja na wazo la kuanzisha wizara inayo wahusu hili kuwaada watu waone kwamba ana jali sana vijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…