Waziri Nanauka: Serikali kuanzisha kampuni laki moja na ajira Milioni moja

Aiseee inasikitisha sana yaani mtu ana Phd anaongea utumbo namna hii? Kampuni Laki moja anazijua huyu BOYA?
 
Acheni uongo .... vijana msiingie choo cha kike ... mnapigwa mchana kweupe
 
Huyu siku hizi amekuwa mjinga na mpumbafu wa kutupwa. Anatumika kama toilet paper na Serikali hii Haramu I thought the man is smart kumbe ndiyo walewale wasakatonge.

Useless kabisa 🚮
 
Atetee kwanza mamia ya vijana waliowaua tarehe 29

Kabla ya kutuletea motivational speaker zake

Nilitegemea Kwa motivational speaker zake angekuwa na kampuni kubwa ya kuigwa mfano na vijana

Kumbe BLA BLA as usual
 
Hivi nyie waseng€ mnaotumia neno serikali kwa wakati huu ,MNA akili ah kinyesi kwenye hayo mafuvu yenu ? , Tanzania Ina serikali ipi ,iliyochaguliwa na nani ? ,lini na inamwongoza nani?
 
..hakuna ulazima wa kuwa ni wizara ya vijana, wakati tuna wizara nyingi zinazogusa masuala ya vijana.

..kwa mfano, wizara ya kilimo ikitekeleza vizuri majukumu yake vijana wanaojihusisha na kilimo watainuka kiuchumi.

..wizara ya viwanda ikifanya vizuri na viwanda vingi vikaanzishwa vijana wengi watapata ajira.

..naweza kuendelea kuzitaja wizara nyingine ambazo utendaji wake unawagusa vijana.

..kwa msingi huo tumeanzisha wizara ambayo hatukuihitaji.
 
Kwani bado tuko kwenye kampeni?
 
Esopo kwa ufanisi gani inaweza kuanzisha hizo kampuni na zikaweza kuendelea na kustawi huyu jamaa nafikiri muongeaji zaidi ya mtendaji.
 
Focus ya Waziri sijaielewa bado mboni huyu ni km yule Waziri fulani wa BBT aliechangamka.. what is next?
 
Wazo zuri.

Lakini bila katiba mpya, haki mahakamani, bunge la wananchi linalofanya kazi, hilo wazo zuuuri litakwamishwa na forces ambazo huyo Nanauka kwa sasa hajazitathmini zitatokea wapi!. Lakini kimsingi zitatokea katika mifumo mibovu ya kiutawala inayokingiwa kifua na katiba mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…