Waziri Nape aagiza wamiliki wa “Abroad Tv” wakamatwe kwa upotoshaji

Waziri Nape aagiza wamiliki wa “Abroad Tv” wakamatwe kwa upotoshaji

Naunga mkono hoja, wakamatwe tu. Na hili liwe funzo kwa viblogs uchwara vingi vinavyoandika uongo ili kuvutia watazamaji. Huwa najiuliza, TCRA hawaoni hivi viTV? Inakera sana.
 
Sijasema hayupo sawa
Ninaongelea vipaumbele.

Huwezi ukatoa maagizo bias tena publicly. Ninaposema bias namaanisha ameegemea kuilinda serikali lakini kabla haijachafuliwa kuna hoja zaidi ya alfu kuhusu uharamia wa mitandao na bando kuibiwa na cartel ya watoa huduma

Hii ni serikali ambayo wqtendaji wake wengi hawajali malalmiko ya wananchi.

Sheria za anayetoa taarifa za uongo ipo na siyo mpaka kujifaragua majukwaa i ili kuonesha unaisimamia kudefend mfumo ambao katu hakuna anayeweza kuuonea.

Wananchi hawana mtetezi, hawana pa kukimbilia kwa sababu serikali INAJILI DA dhidi yao
[emoji122][emoji122]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuna mkataba gani sio siri? mkataba nipande mbili sio Tanzania tu ni mikataba ya kisheria sio karatasi zinaend public na hata mikataba binafsi inapitiwa na wahusika tu. Sasa sielewi ni nchi gani ulisikia au ofisi gani wakaweka mikataba hadharani, hata mwajiri na mwajiriwa ni siri. Halafu Tanzania hii nani wakusoma mikataba toka lini? wa Tz wanasoma umbea tu mambo ya msingi wanaruka hata ukileta gazeti ukiandika mambo ya maana watafungia vitumbua tu. Mkataba unweza kukuta una paper zaidi ya 50 lugha kizungu tuacheni kulaumu tu lugha ya kimikataba ni wanasheria tu wanaweza kupitia na wakaelewa na sisi tuna mwanasheria wa serikali.

Mkataba wa binafsi hatuna haja nao, huu wa umma ni lazima ufahamike maana tuna viongozi wa serikali wasio waaminifu. Viongozi wanaoingia madarakani kwa wizi wa kura sio rahisi kuaminika. Hii ndio sababu tunataka mikataba isiwe siri na sio kutuambia idadi ya mikataba. Sio mkataba mmoja au miwili mikataba ya hovyo imeingiwa na mwanasheria Mkuu wa serikali akiwemo.
 
UPOTOSHAJI WA KIWANGO HICHI HAUKUBALIKI KWANI LENGO NI KUPOTOSHA NA KUCHOCHEA CHUKI DHIDI YA SERIKALI NA KUIPAKA MATOPE NCHI YETU. Nimewaagiza TCRA na vyombo vinavyohusika kuchukua hatua zinazostahili kwa chombo hichi. Vizuri hawa wawe mfano kwa wengine wa aina hii.
View attachment 2407509
View attachment 2407428
Hivi hiyo mikataba ilisomwa ukurasa kwa ukurasa?
 
Sijasema hayupo sawa
Ninaongelea vipaumbele.

Huwezi ukatoa maagizo bias tena publicly. Ninaposema bias namaanisha ameegemea kuilinda serikali lakini kabla haijachafuliwa kuna hoja zaidi ya alfu kuhusu uharamia wa mitandao na bando kuibiwa na cartel ya watoa huduma

Hii ni serikali ambayo wqtendaji wake wengi hawajali malalmiko ya wananchi.

Sheria za anayetoa taarifa za uongo ipo na siyo mpaka kujifaragua majukwaa i ili kuonesha unaisimamia kudefend mfumo ambao katu hakuna anayeweza kuuonea.

Wananchi hawana mtetezi, hawana pa kukimbilia kwa sababu serikali INAJILI DA dhidi yao
Nadhani wananchi wanachagua wabunge na madiwani( Kama ni halali au sio hilo sio issue) lakini kwanini tuendelee kuchagua watu wasiokuwa na utetezi katika mambo yetu. Kuna wabunge, Madiwani hawa wanachaguliwa na watu. Nape ni waziri kazi kulinda serikali. Masuala ya Cartel sina ushahidi ila wao wana offer vifurushi kila majina kuwachanganya wateja na wajibu wa serikali sio kupanga bei bali kulinda mteja apate huduma value for money. Wameruhusu betting kila mtaa hujui hata regulation je ni kweli au ni money scam yako mambo mengi hayako sawa nakubali lakini na sisi wananchi tunawajibu kuzigomea kampuni zenye kuibia wateja.
 
Mkataba wa binafsi hatuna haja nao, huu wa umma ni lazima ufahamike maana tuna viongozi wa serikali wasio waaminifu. Viongozi wanaoingia madarakani kwa wizi wa kura sio rahisi kuaminika. Hii ndio sababu tunataka mikataba isiwe siri na sio kutuambia idadi ya mikataba. Sio mkataba mmoja au miwili mikataba ya hovyo imeingiwa na mwanasheria Mkuu wa serikali akiwemo.
Ndugu yangu hakuna kitu kigumu kama kupitia mkataba na kumbuka mkataba ni wa nchi mbili hapa sio wa upande mmoja na kila upande unaweka maslahi yake mbele au kila upande unaweka maslahi yake mbele hakuna mkataba ukawa mteremko kwa Tanzania na kuwabana wengine hakuna. Unaweza kusoma mkataba mwisho wa usiku uka sign lakini kuna kipengele kimoja tu kikakutoa kamasi ndio maana mikataba yote inapitiwa na wanasheria wewe akijiridhisha una sign tu sababu umamuamini mwanasheria wako, na serikali mwanasheria ni mtumishi kaaminiwa ndio kapewa dhamana. Nakubaliana na wewe hawa wanasheria katika teuzi wangekuwa wanapitishwa na bunge na wawajibike kwa bunge yako mambo yanaweka kuboreshwa. Ila kuweka mkataba hadharani hakuna na nitajie nchi moja duniani wanaweka mkataba hadharani. vyeti vya ndoa tu tuna sign na kutia kabatini bila kusoma.
 
Nadhani wananchi wanachagua wabunge na madiwani( Kama ni halali au sio hilo sio issue) lakini kwanini tuendelee kuchagua watu wasiokuwa na utetezi katika mambo yetu. Kuna wabunge, Madiwani hawa wanachaguliwa na watu. Nape ni waziri kazi kulinda serikali. Masuala ya Cartel sina ushahidi ila wao wana offer vifurushi kila majina kuwachanganya wateja na wajibu wa serikali sio kupanga bei bali kulinda mteja apate huduma value for money. Wameruhusu betting kila mtaa hujui hata regulation je ni kweli au ni money scam yako mambo mengi hayako sawa nakubali lakini na sisi wananchi tunawajibu kuzigomea kampuni zenye kuibia wateja.
Ulichokiongea ni wazi wewe ni wale wale.

Ukishaanza kuwalaumu wananchi kwa kuwachagua wabunge wakati ukweli unaujua kuwa uchaguzi ulichafuliwa ni wazi wewe na walafi wenzako lazima mjipe uhalali wa kujibu bila hata kuhusisha akili.

Wewe unataka ushahidi upi kwa mfano
Seems unawekewa bando na hauna cha kulipia bali wanakulipia hivyo hauna chembe ya maumivu wanayopitia wajasiriamali na wananchi wa kawaida.

Mambo ya betting hashikiwi mtu panga ashiriki bali issues za mawasiliano ni basic needs kama zingine pia umuhimu wake ni huduma zinazoambatana nazo. Mliweka Tozo kandamizi kisha mkaja na ujinga kusema tozo zimesamehewa ambapo inaleta picha kuwa mliwaadhibu wananchi kwa kuwanyima kura....

Mambo ni moto
Mambo ni faya
 
You are either a free speech absolutist or not.Kusema ni upotoshaji maana yake unatuchukulia sisi wote tunaosoma na kuchanganua hizo habari ni mazezeta,Yani hatuwezi kuona kuna uongo hapo..
 
Back
Top Bottom