Waziri Nape aagiza wamiliki wa “Abroad Tv” wakamatwe kwa upotoshaji

Waziri Nape aagiza wamiliki wa “Abroad Tv” wakamatwe kwa upotoshaji

UPOTOSHAJI WA KIWANGO HICHI HAUKUBALIKI KWANI LENGO NI KUPOTOSHA NA KUCHOCHEA CHUKI DHIDI YA SERIKALI NA KUIPAKA MATOPE NCHI YETU. Nimewaagiza TCRA na vyombo vinavyohusika kuchukua hatua zinazostahili kwa chombo hichi. Vizuri hawa wawe mfano kwa wengine wa aina hii.
View attachment 2407509
View attachment 2407428
Lakini mama si anaongoza nchi kwa 4Rs? Kwanini kukamata? Reconciliation itumike.
 
Ukweli ni upi? Matokeo ya kukosena kwa taarifa rasmi za kina ndio hayo.
 
Siku ile anakwenda kuomba msamaha alikuwa na bonge la kitambaa anajifuta jasho!!

Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Afu na JPM alivyo hakuwa hata na siri, akamleta mbele ya Camera akamdharirisha vibaya hovyo ili kuweka kumbukumbu sawa huku Nnauye akijichekesha kama mbuzi wale waliomcheka waziri wa Kenya akiomba muapishaji atumie Kiswahili!
 
Ulichokiongea ni wazi wewe ni wale wale.

Ukishaanza kuwalaumu wananchi kwa kuwachagua wabunge wakati ukweli unaujua kuwa uchaguzi ulichafuliwa ni wazi wewe na walafi wenzako lazima mjipe uhalali wa kujibu bila hata kuhusisha akili.

Wewe unataka ushahidi upi kwa mfano
Seems unawekewa bando na hauna cha kulipia bali wanakulipia hivyo hauna chembe ya maumivu wanayopitia wajasiriamali na wananchi wa kawaida.

Mambo ya betting hashikiwi mtu panga ashiriki bali issues za mawasiliano ni basic needs kama zingine pia umuhimu wake ni huduma zinazoambatana nazo. Mliweka Tozo kandamizi kisha mkaja na ujinga kusema tozo zimesamehewa ambapo inaleta picha kuwa mliwaadhibu wananchi kwa kuwanyima kura....

Mambo ni moto
Mambo ni faya
Bando haliishi kwa kutumia kufanya kazi zako muhimu ila wa Tz tuko busy kwenye umbea. Hayo walichaguliwa vipi mimi siyajui wala sina ushahidi hapa ila kuna ukweli fulani wapinzani bado hawaaminiki kwa watu na tabia zao zimefanya hivyo hawana misimamo na mimi naamini bado sana hawana uwezo wa kushika nchi hata kama nawachukia CCM lakini wapinzani bado sana. Bando chagua option nyingi tumia kwa mambo muhimu sio yakina Mwijaku.
 
Wana si hasa sio wa kuwa amini. Wanaweza kukuuza mchana kweupe.
 
UPOTOSHAJI WA KIWANGO HICHI HAUKUBALIKI KWANI LENGO NI KUPOTOSHA NA KUCHOCHEA CHUKI DHIDI YA SERIKALI NA KUIPAKA MATOPE NCHI YETU. Nimewaagiza TCRA na vyombo vinavyohusika kuchukua hatua zinazostahili kwa chombo hichi. Vizuri hawa wawe mfano kwa wengine wa aina hii.
View attachment 2407509
View attachment 2407428
Ipo siku ukweli utajurikana,kama ishu ya mwendazake na makinikia tilioni 360!,zilisemwa hizi ni "proffesorial rubish"watu wakapinga,watu wakachapwa risasi,lakini leo tumejua it was real a proffesorial fucking rubbish"
 
UNAPEWA HAKI KABLA YA KUONGEA ILA UKISHAONGEA HAKI WANABAKI NAYO WAO
 
Bando haliishi kwa kutumia kufanya kazi zako muhimu ila wa Tz tuko busy kwenye umbea. Hayo walichaguliwa vipi mimi siyajui wala sina ushahidi hapa ila kuna ukweli fulani wapinzani bado hawaaminiki kwa watu na tabia zao zimefanya hivyo hawana misimamo na mimi naamini bado sana hawana uwezo wa kushika nchi hata kama nawachukia CCM lakini wapinzani bado sana. Bando chagua option nyingi tumia kwa mambo muhimu sio yakina Mwijaku.
Mjinga huwa anaelewa akishapewa elimu
Mpumbavu hata umuunge kwa nazi na vitunguu anabakia ni pure mpumbavu.

Choose one
 
Mjinga huwa anaelewa akishapewa elimu
Mpumbavu hata umuunge kwa nazi na vitunguu anabakia ni pure mpumbavu.

Choose one
Shida yako unajiona uko vizuri kumbe lakini zero shida hujielewi na ukiona mtu anaanza kutukana watu kuona yeye ndio mwenye akili ujuwe shida maana hata kichaa anawaona wazima hawana akili.
 
Shida yako unajiona uko vizuri kumbe lakini zero shida hujielewi na ukiona mtu anaanza kutukana watu kuona yeye ndio mwenye akili ujuwe shida maana hata kichaa anawaona wazima hawana akili.
Choose one
 
Kama uongo atueleze yeye ukweli ni upi?
Tuanzie na idadi iliyotajwa ya Wachina 102 walio katika mikono ya Vyombo vya Dola. Ni kweli wapo? Kama hawapo, hao Abroad Tv wapuuzwe. Lakini kama kweli wapo, basi ufanyike uchunguzi kabla ya kupuuzwa.
 
Back
Top Bottom