Waziri Nape aagiza wamiliki wa “Abroad Tv” wakamatwe kwa upotoshaji

Waziri Nape aagiza wamiliki wa “Abroad Tv” wakamatwe kwa upotoshaji

Tuanzie na idadi iliyotajwa ya Wachina 102 walio katika mikono ya Vyombo vya Dola. Ni kweli wapo? Kama hawapo, hao Abroad Tv wapuuzwe. Lakini kama kweli wapo, basi ufanyike uchunguzi kabla ya kupuuzwa.
Kwa hiyo sasa serikali ituambie ni wangapi wako jela ili tujue ukweli na pia iseme kama kweli kuna mpango wa kuwaachia kwa makubaliano na serikali ya China.

Kuna jambo ambalo hadi sasa serikali haijakubali wala kukanusha kuwa mtoto wa kigogo aliwahi kukamatwa huko China na madawa ya kulevya hivyo ili asinyongwe serikali ikaipa China kitalu cha kuchimba gesi.

Sasa ni mambo kama haya serikali inatakiwa ije na ukweli hata kama ni mchungu!
 
Back
Top Bottom