Waziri Nape aagiza wamiliki wa “Abroad Tv” wakamatwe kwa upotoshaji

Lakini mama si anaongoza nchi kwa 4Rs? Kwanini kukamata? Reconciliation itumike.
 
Ukweli ni upi? Matokeo ya kukosena kwa taarifa rasmi za kina ndio hayo.
 
Siku ile anakwenda kuomba msamaha alikuwa na bonge la kitambaa anajifuta jasho!!

Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Afu na JPM alivyo hakuwa hata na siri, akamleta mbele ya Camera akamdharirisha vibaya hovyo ili kuweka kumbukumbu sawa huku Nnauye akijichekesha kama mbuzi wale waliomcheka waziri wa Kenya akiomba muapishaji atumie Kiswahili!
 
Bando haliishi kwa kutumia kufanya kazi zako muhimu ila wa Tz tuko busy kwenye umbea. Hayo walichaguliwa vipi mimi siyajui wala sina ushahidi hapa ila kuna ukweli fulani wapinzani bado hawaaminiki kwa watu na tabia zao zimefanya hivyo hawana misimamo na mimi naamini bado sana hawana uwezo wa kushika nchi hata kama nawachukia CCM lakini wapinzani bado sana. Bando chagua option nyingi tumia kwa mambo muhimu sio yakina Mwijaku.
 
Wana si hasa sio wa kuwa amini. Wanaweza kukuuza mchana kweupe.
 
Ipo siku ukweli utajurikana,kama ishu ya mwendazake na makinikia tilioni 360!,zilisemwa hizi ni "proffesorial rubish"watu wakapinga,watu wakachapwa risasi,lakini leo tumejua it was real a proffesorial fucking rubbish"
 
UNAPEWA HAKI KABLA YA KUONGEA ILA UKISHAONGEA HAKI WANABAKI NAYO WAO
 
Mjinga huwa anaelewa akishapewa elimu
Mpumbavu hata umuunge kwa nazi na vitunguu anabakia ni pure mpumbavu.

Choose one
 
Mjinga huwa anaelewa akishapewa elimu
Mpumbavu hata umuunge kwa nazi na vitunguu anabakia ni pure mpumbavu.

Choose one
Shida yako unajiona uko vizuri kumbe lakini zero shida hujielewi na ukiona mtu anaanza kutukana watu kuona yeye ndio mwenye akili ujuwe shida maana hata kichaa anawaona wazima hawana akili.
 
Shida yako unajiona uko vizuri kumbe lakini zero shida hujielewi na ukiona mtu anaanza kutukana watu kuona yeye ndio mwenye akili ujuwe shida maana hata kichaa anawaona wazima hawana akili.
Choose one
 
Kama uongo atueleze yeye ukweli ni upi?
Tuanzie na idadi iliyotajwa ya Wachina 102 walio katika mikono ya Vyombo vya Dola. Ni kweli wapo? Kama hawapo, hao Abroad Tv wapuuzwe. Lakini kama kweli wapo, basi ufanyike uchunguzi kabla ya kupuuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…