Waziri Nape atembelea Multichoice, awarudishia DSTV 'local channels' baada ya marekebisho ya kanuni

Kutokana na maoni ya watu wengi nimegundua watanzania ni watu rahisi sana kuwatawala maana wanasahau mapema.
 
Wanapenda vya dezo huku wakipiga kelele ni haki yao. Wakiambiwa ukweli wanakuwa wakali sana.
Kutokana na maoni ya watu wengi nimegundua watanzania ni watu rahis sana kuwatawala maana wanasahau mapema .
 
Wanapenda vya dezo huku wakipiga kelele ni haki yao. wakiambiwa ukweli wanakua wakali sana.
Hapo utasikia wanamsifia huyo waziri, ila wanamsahsu yule aliezui wao kuibiwa na DSTV wakashindwa kutii masharti akaona bora aziondoe
 
Kuscan chanel dstv
1.Fungua settings
2.Fungua satellite settings
3. Fungua Home network
4. Hakikisha bars za blue za signal status zipo kama hazipo hutoweza kupata chanel
5. Kama zipo chagua Scan all
6. Subiri mpaka imalize kuscan
Enjoy
Nadhan sio lazima ku-scan ila zinakuja zenyewe mana kwangu zimekuja clouds na channel ten bila ku-scan.
Naomba kuuliza, kifurushi kikiisha na hizo channel zinatoka na kubaki TBC tuu au.?
 
Guys kama kuna mtu anahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba anicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
 
StarTV inapatikana kwenye chaneli namba gani huko DSTV?
 
Mwanzo mzuri.
Bunge liwe live sasa….
 
Or kama kuna mtu ana king'amuzi cha DISH cha STARTIMES aje nimpe cha DISH cha AZAM then ataniongeza 60k (king'amuzi changu cha AZAM bado kipya na hakijamaliza hata mwezi tokea kinunuliwa na kimeshalipiwa miezi mitatu kwa chaneli zote )
 
Bara zima la Africa wanaonesha EPL ni Dstv na Bein Sport, inaonekana mkuu hujui kuhusu Canal Sport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…