Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
hivi kurudishwa kwa hizi channel ni kwamba hata kama huna kifurushi utaziona au mpaka kilipiwe ndouone??Anamaanisha ufanye km una scan then zitafunguka ..thow sina uhakika km n kwel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi kurudishwa kwa hizi channel ni kwamba hata kama huna kifurushi utaziona au mpaka kilipiwe ndouone??Anamaanisha ufanye km una scan then zitafunguka ..thow sina uhakika km n kwel
Uelekeo gani?Hao DStv wameishapoteza uelekeo
Bado haijaeleweka ...lakin kwa asiimia nyingi weng wanahis ...itakua kifurush kikikata nazo hazionyeshihivi kurudishwa kwa hizi channel ni kwamba hata kama huna kifurushi utaziona au mpaka kilipiwe ndouone??
Ha ha haNi muda wa kukitupilia mbali king'amuzi cha Startimes..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Marketing strategy but now wanajaribu kujikwamua walipojikwaaUelekeo gani?
Mpaka ulipie mkuu, nimeona chanel zimeshaingizwa ila hazioneshi mpaka ulipiehivi kurudishwa kwa hizi channel ni kwamba hata kama huna kifurushi utaziona au mpaka kilipiwe ndouone??
Acha upimbi, kwani kila mtu anapenda mpira? Halafu ukute hata kupiga danadana kumi huwezi [emoji12]
Mimi nna kifurushi bado hakijaisha, nazipataje? Nilitegemea zitaonekana automaticallyMpaka ulipie mkuu, nimeona chanel zimeshaingizwa ila hazioneshi mpaka ulipie
Fanya kuscan mkuuMimi nna kifurushi bado hakijaisha, nazipataje? Nilitegemea zitaonekana automatically
Kwa AZAM kikikata unaendelea kuona Bure hizo locals
Ok thanksFanya kuscan mkuu
Atashindwaje kuwa n Dtsv wakati wanauza decoder zao elfu 79 pamoja ka kufunga? Vifurushi vinaanzia shilingi elfu 9 na kuendelea kwa mwezi, atakuwa anakwama mahaliSio kwamba huwezi afford badala yake unajenga Chuki dhidi yao? UMASKINI NI KITU KIBAYA sanaa🤣🤣🤣
Yes kuna tatizo mahala, huwa nashangaa wengi wanaiponda DSTV wakiwa wamekariri kwamba ni gharama wakati sio kweli.Atashindwaje kuwa n Dtsv wakati wanauza decoder zao elfu 79 pamoja ka kufunga? Vifurushi vinaanzia shilingi elfu 9 na kuendelea kwa mwezi, atakuwa anakwama mahali
Unda tatizo tatua tatizo
Ni mentality tu ndg, lkn Dstv nao wameshusha sana gharama zaoYes kuna tatizo mahala, huwa nashangaa wengi wanaiponda DSTV wakiwa wamekariri kwamba ni gharama wakati sio kweli.