Waziri Nape atembelea Multichoice, awarudishia DSTV 'local channels' baada ya marekebisho ya kanuni

Waziri Nape atembelea Multichoice, awarudishia DSTV 'local channels' baada ya marekebisho ya kanuni

hivi kurudishwa kwa hizi channel ni kwamba hata kama huna kifurushi utaziona au mpaka kilipiwe ndouone??
Bado haijaeleweka ...lakin kwa asiimia nyingi weng wanahis ...itakua kifurush kikikata nazo hazionyeshi

Hata startime hv ving'amuzi vipya ili uweze kuangalia local chanel bure unlimited kuna hela unatakiwa ulipie ili waki activate king'amuzi chako vinginevyo itakua king'amuzi kikiishia local channel nazo zinaondolewa
 
Kwa AZAM kikikata unaendelea kuona Bure hizo locals

Nakumbuka zamani (2015) huko ilikuwa kikiisha kifurushi 'locals' zinaonekana kwa wiki mbili kisha zinakata, lakini baadaye waliitoa zikawa zinakata zote.

Sina taarifa za karibuni, kama una uhakika na usemalo basi fureshiii.
 
Sio kwamba huwezi afford badala yake unajenga Chuki dhidi yao? UMASKINI NI KITU KIBAYA sanaa🤣🤣🤣
Atashindwaje kuwa n Dtsv wakati wanauza decoder zao elfu 79 pamoja ka kufunga? Vifurushi vinaanzia shilingi elfu 9 na kuendelea kwa mwezi, atakuwa anakwama mahali
 
Atashindwaje kuwa n Dtsv wakati wanauza decoder zao elfu 79 pamoja ka kufunga? Vifurushi vinaanzia shilingi elfu 9 na kuendelea kwa mwezi, atakuwa anakwama mahali
Yes kuna tatizo mahala, huwa nashangaa wengi wanaiponda DSTV wakiwa wamekariri kwamba ni gharama wakati sio kweli.
 
Yes kuna tatizo mahala, huwa nashangaa wengi wanaiponda DSTV wakiwa wamekariri kwamba ni gharama wakati sio kweli.
Ni mentality tu ndg, lkn Dstv nao wameshusha sana gharama zao
 
Hivi mwanzoni sheria zilikiukwa au sasa sheria zinakiukwa na serikali
 
Mnaopata hizo channel tuelekezen mlivyofanya na sisi tuzipate maana mi bado nina kifurushi ila sizipati
 
Back
Top Bottom