Waziri Nape atembelea Multichoice, awarudishia DSTV 'local channels' baada ya marekebisho ya kanuni

Waziri Nape atembelea Multichoice, awarudishia DSTV 'local channels' baada ya marekebisho ya kanuni

Hapa Nape kapiga lile goli lake la mkono, kajichukulia point nying sana kutoka kwangu
 
Mm naona awe anachukua moja anakuja lingine ili tujue limeisha au laa kuliko kuacha vipolo
 
Wao walikuwa wanazitoa baada ya kifurushi kuisha, ilikuwa inabaki TBC na ZBC
Naona walikua wanakupa package then wanakupa na nyongeza ya local channels😅😅
All in all najiuliza leo sheria ya 80k/h inakua applied kwa kila gari kwenye signal traffics
Sasa hii case inashangaza kidogo kwanini dstv wagomee utaratibu halali ulioko kwenye utekelezaji?!
 
Mimi sio tajiri ila nakushangaa weye unaeiponda DSTV
Nadhani wewe ndiyo hujaelewa nilichomaanisha, Ni Bora Kama comment ya mdau hujaelewa vizuri Ni haki yako kuomba ufafanuzi au busara kukaa kimya. Mfano nikikwambia. Azam amefanikiwa kwa kucapitalize mapungufu ya DSTV unanielewa?. For your information, kuwa na DSTV siyo utajiri Kama unavyodhani, na Wala kuwa na Azam na wengineo si Umaskini. Huo Ni muono wako. Ila Mimi kwa maoni yangu na mtazamo wangu, DSTV walijipotezea soko na Sasa wanakumbuka shuka kumekucha, na ndiyo maana Sasa wamekuja strategy za kuwavutia customer Kama panda tukupandishe na vifurushi vya kuanzia tzs 9,000/=, wanajaribu kujinasua walipokwamia.
 
DStv ni noma vifurushi ni aghali sana nalipia huku roho inaniuma
 
Wakirudisha hizo local channel waondoe TBC na safari channel.

Raha ya Dstv ni michezo zingine kelele
Acha upimbi, kwani kila mtu anapenda mpira? Halafu ukute hata kupiga danadana kumi huwezi [emoji12]
 
Kuna yeyote ambaye ameshaziona hzo local channel mpaka sahv??
 
Back
Top Bottom