mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Daah bandl likiisha dish TV na tbc mwanzo mwisho.
Bora iwe hivyo
Bora iwe hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kwangu nasugua na TBC tu, vipindi nishazoea sasa, Shambani Shambani shambani, mazao bora shaaaambani. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Daah bandl likiisha dish TV na tbc mwanzo mwisho.
Bora iwe hivyo
Watz wanasahau mapema sana mkuuShida ilikua kwa multichoice au serikali
Maana naona neno “kawarudishia” wakati ving’amuzi shindani vilikua na free local channels
I’m curious [emoji45][emoji45]
Vizuri !...tumeifanyia marekebisho ili kuruhusu Channel za TV ambazo hazilipiwi (mfano CloudsTV, ITV n.k) ziweze kuonekana kwenye king'amuzi cha DSTV" Nape
Mkuu sisi watz ni mambumbumbu sana!kama skosei si kwamba dstv ndo walizitoa hizo local channels wenyewe kutokana na sheria mpya ya wao kulipia leseni ya kuzirusha hizo local chanel huku wao wakitakiwa wazirushe free kwenda hewani. naombeni kurekebishwa.. kwani azam mbona zimekwemo ? hao dstv wako chali ndo wanakukuruka saivi azam gari ishawaka iko high way
NAPE ALIONDOLEWA UWAZIRI MWAKA 2017.Kumbukumbu zangu zinaniambia kwamba hao dstv na kina azam ilikuwa kabla ya 2018 hizo chanel za ndani zinaonekana ukiwa na kifurushi tu, kikiisha na zenyewe zinakata isipokuwa tbc tu.
Nape akiwa waziri wa habari akaja na kanuni kwamba local chanels zote zinatakiwa kuonekana bure kwenye visimbusi vyote hapa nchini.
Azam, zuku na wengine wakakubali hayo masharti ya selikali ila DSTV wao waligoma ndio maana walifuta kabisa local chanel zote kwenye kisimbusi chao isipokuwa tbc pekee,,!
Sasa haya maamuzi ya NAPE ya leo hata sijayaelewa kabisa. Kwa sababu kilichosababisha hizo chanel kutolewa kwenye dstv ni huo ubure.!