Waziri Nape atembelea Multichoice, awarudishia DSTV 'local channels' baada ya marekebisho ya kanuni

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wana nyimbo zao kila siku hizo hizo tu. Chereko, Zamadamu, ku lile tangazo limeisha sasa HUU NI MWEZI WA MAMA.
 
Warudishe tu maana walaji hatukuwahi kulalamika kwanini zinakatwa baada ya kifurushi kuisha
 
Shida ilikua kwa multichoice au serikali
Maana naona neno “kawarudishia” wakati ving’amuzi shindani vilikua na free local channels
I’m curious [emoji45][emoji45]
Wao walikuwa wanazitoa baada ya kifurushi kuisha, ilikuwa inabaki TBC na ZBC
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wana nyimbo zao kila siku hizo hizo tu. Chereko, Zamadamu, ku lile tangazo limeisha sasa HUU NI MWEZI WA MAMA.
Hahah, Kuna wakati nilibaki alone nyumbani familia ilisafiri basi kifurushi kikaisha nikawa kila nikirudi nimelewa zangu lakini kila nikiwasha TV nakutana na vipindi vilevile nikakaa nikajiuliza hivi ninakuwaga naota au wanarudia vipindi mwezi mzima.

Yani sikuwa na mpango wa kuweka kifurushi maana hakuna wa kuangalia ilinilazimu kuweka maana ilikuwa kero ile muda nataka kuangalia TV inakuwa shida.

Shambani shambani, au Kuna jamaa mmoja anatembeleaga misitu anaongea kwa makeke mengi yaani anakera.

TBCCM imejaa waandishi fulani wana viherehere kama walokole dizaini especially wa kiume wamekaa ki-four sana
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Yule mzee anayetembelea vyanzo vya maji yaan hana sura ya kuonekana kwenye TV. Ana mbwembwe sana
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Yule mzee anayetembelea vyanzo vya maji yaan hana sura ya kuonekana kwenye TV. Ana mbwembwe sana
Ananikeraga aisee huwa natamani kumzaba kelebu. Uso mkavu na anaongelea misitu mtu anataka mti halafu utasikia serikali ya mama Samia sasa unajiuliza mti na serikali wapi na wapi?

Anaongeaga maneno mengi mno atakuwa na kiherehere sana 😃
 
Ananikeraga aisee huwa natamani kumzaba kelebu. Uso mkavu na anaongelea misitu mtu anataka mti halafu utasikia serikali ya mama Samia sasa unajiuliza mti na serikali wapi na wapi?

Anaongeaga maneno mengi mno atakuwa na kiherehere sana [emoji2]
Afu anaunganishi MITO NA VIJITO kwa ajili ya BWALA LA MWAL NYERERE. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Afu anaunganishi MITO NA VIJITO kwa ajili ya BWALA LA MWAL NYERERE. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jamaa unamfuatilia sana mshkaji wako 😃😃😃😃😃 Kuna wakati mpaka anatamani kujirusha kwenye maji anajifanya anayapenda sana anausifia mradi wa umeme kutokana na hiyo mito unaweza kuhisi anamuongelea mkewe 😃😃 huwa wakati mwingine naangalia TBCCM basi tu ili nipate viroja vyao 😃😃
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ukiwa umepumzika nyumbani na huna hela ya kifurushi basi unajiwekea CHEREKO.
 
Habari ipo clear kabisa, sema sisi watanzania tulio wengi hatupendi kusoma maelekezo marefu, tukisoma Aya kadhaa tu unajijengea taarifa yako mwenyewe kichwani na kukimbilia kwenye comments ili na wewe usipitwe...

Mwisho wa siku habari inapoteza maana kabisa kutokana na uzushi mwingiii

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Ila CCM ni chama Cha Wendawazimu aiseeeee, walifuta wao wakajipongeza wao, Leo wamerudisha Tena na watajipongeza Tena! Stupid
 
Nashangaa watu wanashangilia wakati zikiwa DStv haziwi bure, hela ikiisha zinakata
Mmmh nadhan kama ikiwa hivo basi na wengine kama kina Azam lazima watalalamika. Iweje wengine walazmishwe zioneshwe bure halafu kwa DSTV zilipiwe
 
Kwao hawa TING, STARTIMES, AZAM na wengine waliongia gharama kwenye mitambo ya kurusha matangazo ili waendane na SHERIA NA TARATIBU za nchi kwenye mawasiliano ni WAENDA NA WAZIMU.... Kwahiyo SHERIA imerekebishwa kwa ajili ya DSTV peke yake???
Ndo ninachojiuliza na mm...itakua sio fair kwa wengine kwa kweli.
 
Better niwache Bluetooth niunge laptop niangalie movie.
Mi naangalia movie mpaka nachoka, nazima bluetooth naangalia Chereko, Shambani, Ngoma 5 Kali, Nyota wa wiki, NSSF, na hii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] UBU usalama barabarani na URAIAAAAAAAAA
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hawa TBC sijui wanatuonaje.
 
Umechanganya mkuu,

Dstv ndio ilikataa kuonesha hizo chanel bure yani bila malipo, baada ya selikali kuja na sheria kwamba visimbusi vyote lazima vioneshe chanel za ndani bila malipo.

Ndipo azam, startimes na wengine wakakubali ila dstv wao waligoma na wakaamua kufuta chanel zenyewe kwenye kisimbusi chao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…