Waziri Nape atembelea Multichoice, awarudishia DSTV 'local channels' baada ya marekebisho ya kanuni

Ni mentality tu ndg, lkn Dstv nao wameshusha sana gharama zao

Waneshusha ili kuchukua wateja, StarTimes amewin soko kwa wengi wenye mentality za kudhani DsTV ni ghali.
 
Ni mentality tu ndg, lkn Dstv nao wameshusha sana gharama zao
Yes Mkuu, ni mentality ndio inayosumbua wengi. DSTv hawana gharama za kutisha kama wengi wanavyodhani
 
Mpaka sasa bado hazijarudi tuu
 
Yaani uko right kabisa, DSTV walijisahau sana wakajitengenezea "ka-dunia" fulani hivi yaani ilibidi uwe wa hali fulani hivi kiuwezo ndo uwe mteja wao,,, wakati mfumo wa biashara yao unahitaji kuwa na namba kubwa ya wateja ambayo inafanya gharama za malipo ipungue..... sasa wanahaha kushusha vifurushi na bei ya Decorder wakati kumekucha MPAKA wanabebwa na NAPE.... wamebaki na PREMIER LEAGUE na UEFA CHAMP. LG ndo zinawabeba... nawafananisha na TTCL...
 
UKO SAHIHI CHIEF AZAM WANAWATOA JASHO AISEE DSTV

DSTV WALIANZA NA BEI 99,000
WAKAJA NA 79,000 SASA WAPO 59,000 NA OFFA KIBAO
 
Hii kitu iliwaathiri kiuchumi Sana dstv.

King'amuz chao walikishusha Bei ya JUMLA complete mpk elfu 49, lakin wapi kikawa Bado hakiuziki ukimlinganisha na azam..

Kwakweli,
Serikali ikiamua kukufanyia fitna, wallah kutoboa Ni KAZI Sana[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala la msingi ni lini zitaanza kuonekana ...
 
Mkuu naomba unielekeze jinsi ya kuscan hizo channels
Kuscan chanel dstv
1.Fungua settings
2.Fungua satellite settings
3. Fungua Home network
4. Hakikisha bars za blue za signal status zipo kama hazipo hutoweza kupata chanel
5. Kama zipo chagua Scan all
6. Subiri mpaka imalize kuscan
Enjoy
 
Kuscan chanel dstv
1.Fungua settings
2.Fungua satellite settings
3. Fungua Home network
4. Hakikisha bars za blue za signal status zipo kama hazipo hutoweza kupata chanel
5. Kama zipo chagua Scan all
6. Subiri mpaka imalize kuscan
Enjoy
Kwahyo kwako wewe unazipata baada ya kuscan...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…