FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Huyu jamaa anatumiwa na makampuni ya simu yanayotukamua pesa nyingi kwa mb chach, sasa hii ni outright hujuma ya kutaka kulinda ulaji wao kwenye Mb. Hiyo sababu aliyotoa ni ya kitaahira kabisa.., unalinda vipi sasa kwa kuzuia kampuni ya huduma ya mawasiliano? Au hao wanatofauti gani na hizi kampuni zilizopo? Mfano Instagram ofisi zao zipo wapi hapa nchini?Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Nape Nnauye amesema serikali ya Tanzania iliitaka kampuni ya Starlink inayomilikiwa na Elon Musk kuweka ofisi zake hapa nchini ili waweze kulinda data za watumiaji na kuwajibika kwa watanzania.
Source:
Ofisi za Instagram zipo wapi hapa nchiniKwa hili yuko sahihi, makampuni yote yanayotoa huduma za mawasiliano yana ofisi hapa bongo. Huwezi kufanya exception kwa Starlink wakati wengine wamefuata utaratibu huo ambao ni moja ya vigezo vya kupewa leseni
Lakini sasa sheria iliyopo ndio inasema hivyo yeye kama waziri anafanyaje hapo?!!sisi tunataka huduma, mambo ya ofisi yanakujaje sasa?
Instagram ofisi zao zipo wapi hapa nchini? Au hiyo sheria inachagua kampuni?Lakini sasa sheria iliyopo ndio inasema hivyo yeye kama waziri anafanyaje hapo?!!
Heee!!kwa hiyo Instagram ni kampuni inayotoa huduma za mawasiliano!!?Instagram ofisi zao zipo wapi hapa nchini? Au hiyo sheria inachagua kampuni?
Sasa kulipia huduma unayopata utalinganisha na kampuni inayotaka kuja kutoa huduma kwako?Hapo lazima vigezo masharti vifuatwe,mlivyoweka kama vipimnavibadirisha tu.Mimi ni mwanaCCM kindaki ndaki siyo shabiki
Nauliza tu mbona analipia $8 twitter wakati HQ ipo US huyu mjamaa sijawahi kubali IQ yake bora hata FA angepewa hii wizara
Ni huduma ya nini ile? Mimi napiga Instagram video call kila siku, whatsapp ofisi zao zipo wapi? Au mawasiliano ni nini?Heee!!kwa hiyo Instagram ni kampuni inayotoa huduma za mawasiliano!!?
Ofisi ina faida gani. Mtandao ndio shughuli zao, ukiwataka wanaptikana kila saa. Ofisi moja kwa dunia nzima. Hawa tatizo wanataka mambo ya kuzima data, na pia hawa wengine ie. Vod., airte., na wengine hawataki ushindani hapo.Nape na serikali yake wanataka ofisi ili wasiojulikana waweze kuwafikia ofisini mwao ikihitajika, hilo tu hakuna jingine.
Mkuu jaribu kuelewa ni vitu vidogo hivyo!!tofautisha njia za mawasiliano na huduma !!basi kama Instagram ni huduma ya mawasiliano kama unavyodai,usiweke bundle kwenye line yako ,then jaribu kuwasiliana!Ni huduma ya nini ile? Mimi napiga Instagram video call kila siku, whatsapp ofisi zao zipo wapi? Au mawasiliano ni nini?
Njia za mawasiliano ni barua, simu, barua pepe, fax, simu za Internet, radio calls nk. Unapotumia njia hizi za mawasiliano toka kwa mtoa huduma wako ndio tunaita huduma za mawasialiano.Mkuu jaribu kuelewa ni vitu vidogo hivyo!!tofautisha njia za mawasiliano na huduma !!basi kama Instagram ni huduma ya mawasiliano kama unavyodai,usiweke bundle kwenye line yako ,then jaribu kuwasiliana!!
Kwani hata Tv/Radio si zipo za nje lakini si zinasikika hapa nchini,kupitia njia mbalimbali,lakini kuna zile zinazorusha vipindi vyao kutokea studio zao zilizopo nchini na ni za kimataifa?!kuna sheria yake ambayo ni tofauti na zile unazozipata kupitia internet.
Umekuja vizuri sasa hiyo huduma ya Instagram utaipataje bila kuwa na mtoa hudumu wa internet?ambaye kwa sasa ni kampuni za simu zilizopo nchini!bila huyu hiyo huduma huwezi kuipata.kuipata hiyo WhatsApp unatumia miundombinu iliyopo wapi unapokuwa Tanzania?Njia za mawasiliano ni barua, simu, barua pepe, fax, simu za Internet, radio calls nk. Unapotumia njia hizi za mawasiliano toka kwa mtoa huduma wako ndio tunaita huduma za mawasialiano...
sasa hapo nami si nitakuuliza tutapataje hiyo internet bila Iphone, Samsung nk?, haya niambie ofisi zao zipo wapi hapa nchini?Umekuja vizuri sasa hiyo huduma ya Instagram utaipataje bila kuwa na mtoa hudumu wa internet?ambaye kwa sasa ni kampuni za simu zilizopo nchini!bila huyu hiyo huduma huwezi kuipata.kuipata hiyo WhatsApp unatumia miundombinu iliyopo wapi unapokuwa TZ?!!
Mambo ya kisheria sio mepesi hivyo kama mnavyotaka iwe!!
Mkuu lala naona sasa umeishiwa hoja!!iphone au sumsung ni huduma?hiyo internet inaletwa na iphone?sasa hapo nami si nitakuuliza tutapataje hiyo internet bila Iphone, Samsung nk?, haya niambie ofisi zao zipo wapi hapa nchini?