Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

Ndugu waziri ona hii Ali express Wana ofisi wapi hapa nchini?
Lakin mi ni mnufaika na hii kampun na hata nikinunua mzigo usipofika pesa yangu inarudi ndugu waziri tunao humia ni Sisi wananchi🤕🤕 we mwenzetu bando uhakika
Tena bando kubwa kabisa mnapata.

saiz gb 1 mpaka (aftatu) tuokoe waziri raia wema walipambana siku Ile na yule mtu asie julikana usile chuma ya kichwa ilikua chup chup ⚰️⚰️ saiz hata tweet ya Elon usingeiona pulizi waziri pulizi tupo down Kwa feet yako in Kenya talking ahaaa
 
Asante sana kiongozi kwa mchango mzuri maana nia ya huu uzi ni kujadili na kuchambua mawazo ya Nape
 
Mkuu tofautisha mikutano ya routine na ile ya uzinduzi wa hiyo mikutano.

Issue ya kudai katiba mpya ndiyo kipaumbele cha CDM lkn kwa sasa kinachofanyika ni uzinduzi wa hiyo mikutano.
 
Upo sahihi sana
 
Mkuu tofautisha mikutano ya routine na ile ya uzinduzi wa hiyo mikutano.

Issue ya kudai katiba mpya ndiyo kipaumbele cha CDM lkn kwa sasa kinachofanyika ni uzinduzi wa hiyo mikutano.
Wanatumia gharama kuandaa mikutano halafu wananchi wanatoka kwenye mikutano bila bila.
MTU ameambiwa Katiba haitaleta ugali nyumbani mwako, anaamua kwenda kwenye mkutano kujua iwapo katiba mpya inaweza kumletea ugali nyumbani kwake lakini mpaka mkutano unaisha anarudi bila kupata jibu la dukuduku lake. Matokeo yake anabaki na mtazamo kuwa katiba haiwezi kuleta ugali nyumbani kwake.
 
Inategemea na mapokeo yake yapoje hasa pale hilo jambo litakapokuwa limeanza kuzungumziwa rasmi kwenye mikutano iliyo ruhusiwa
 
We has a dictatorial regime, ni katiba ya ufalme ndiyo inaleta hayyo yote. Polisis wanaua raia kwa vile wanabembeleza madaraka waliynayo. Kama RPC angelikuwa anatoka kwenye interview na katiba inasema Rais hana mamlaka ya kumtoa mpaka mamlaka iliyomuweka pale ndiyo imtoe kwa rigid utaratibu, polissi wasingelionea watu! sijui kama nimeeleweka......
 
Yaan Nchi hii, cjui lini utawala utapatikana wenye kujali maslahi ya raia wake!!
 
Ndio maana nasema kwann tunamshambulia nape wakumshambulia ni Yule usalama alietumwa na kumtolea nape bastola angemtwanga moja Leo pengine tungekua tumepunguziwa shida moja tubakize zingine tu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Chawa mko wapi kwenye huu uzi mbona hamjitokezi? Au na nyie chawa mnataka huduma hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…