IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Ndugu waziri ona hii Ali express Wana ofisi wapi hapa nchini?Hahaaa!!mkuu mimi ni mgonga nyundo tu mwenzako huku mtaani!!?ila nimesema tu kulingana na sheria zilizopo sasa!!kama nia ipo ni kuzibadiri tu,ila sasa wenye hisa kwenye makampuni hayo ndio wanaotuongoza je watakubali?!?TTCL ndio wenye mkongo wa taifa ni serikali,huko airtel karibu 51 % ni ya serikali!!
Lakin mi ni mnufaika na hii kampun na hata nikinunua mzigo usipofika pesa yangu inarudi ndugu waziri tunao humia ni Sisi wananchi🤕🤕 we mwenzetu bando uhakika
Tena bando kubwa kabisa mnapata.
saiz gb 1 mpaka (aftatu) tuokoe waziri raia wema walipambana siku Ile na yule mtu asie julikana usile chuma ya kichwa ilikua chup chup ⚰️⚰️ saiz hata tweet ya Elon usingeiona pulizi waziri pulizi tupo down Kwa feet yako in Kenya talking ahaaa