Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

Nilishasema haya nikaonekana mwehu haya yametimia hii ishu nilisema kabisa na Nape kapewa fungu na makampuni ya simu[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
 
Nilishasema haya nikaonekana mwehu haya yametimia hii ishu nilisema kabisa na Nape kapewa fungu na makampuni ya simu[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
 
Na akitimiza hivyo vigezo watamuwekea vigezo vingine vigumu ili ashindwe.

Kuwa na viongozi wafanyabiashara ni shida sana.

Voda , tigo airtel wametoa mpungu wa kufa mtu ili hiyo mipango ikwame .kwa sasa nape anaogelea kwenye utajiri wa kufa mtu .samia achukue maamuzi magumu
 
Kitu kinachonitia kichefuchefu kwenye serikali ya mama ni pamoja na huyu mtu anayeitwa NAPE
 
Tungetegemea akina zito kulizungumzia hili badala yake wanapambana na marehem kiLa siku
 
Na ajira pia .sijui mama anakwama wapi kumtoa huyu kunguni
 
Nasikia kuna wafanyakazi tena wa ngazi ya chini walihongwa 10ml kila mmoja TCRA sasa watu kama nape watakuwa si wamehongwa mabillioni ya fedha
 
Tungekuwa na bunge imara hili lingekuwa nj hoja ya msingi sana .acha voda wazidi kutukamua
 
Mambo ya katiba mpya peleka huko, tunazungumzia huduma ya data hapa.
 
Mambo ya katiba mpya peleka huko, tunazungumzia huduma ya data hapa.
Atakua na hoja ya Msingi huko kwenye Katiba mpya Waziri hawezi kuamua peke yake bila kushirikisha Wananchi kupitia Bunge huko wakiwa Imara wanakua na Kamati ambayo itatoa majibu sahihi sio hii ya kuaema wawe na Office baadae atasema nyumba ili mradi kuongeza vipengele Nchi nyingi zinatafuta hiyo fursa hutu mwananchi mmoja anaifukuza kwa maslahi yake binafsi na Makampuni sio watumiaji..
 
Tungekuwa na bunge imara hili lingekuwa nj hoja ya msingi sana .acha voda wazidi kutukamua
Hata wasomi wanaotambua hizi mambo wangeweza kumjibu hata Wanasheria sasa Wanasheria wetu ndio hao Ndege kila kukicha inachukuliwa na wahuni kama yao wapo kimya tuu...
 
Hoja ya msingi sana
 
Kwamba watanzania hawawezi kupiga simu marekani kuulizia subscription zao

Nape aache kutuona sisi mafala mtu anaeweza kumiliki (kulipia huduma ya )starlink hawezi shindwa kupiga simu America
 
Meta ofisi zao ziko wapi?
Tunalipia zaidi ya elfu 24 kwa siku,
Mbona sisi tunaenda nae fresh kibos tuu
 
Akiweka ofisi nchini, kupata hivyo vibali 10% kama zote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…