kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Nilishasema haya nikaonekana mwehu haya yametimia hii ishu nilisema kabisa na Nape kapewa fungu na makampuni ya simu[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
www.jamiiforums.com
Star Link yaanza kupigwa vita na makampuni ya simu isije Tanzania
Makampuni mawili ya simu sitaki kuyataja wameanza mkakati wa kuhakikisha Star link haiji Tanzania kwa kuhofia ushindani. Kibaya zaidi wanagawa rushwa na hata juzi walikua na kikao kizito kizito na baadhi ya watu wasio waaminifu kutoka Tcra na maafisa kadhaa wa serikali. Hebu imagine hawa watu...