Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.
Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.
====
=====
Pia soma: Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania
Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.
====
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Nape Nnauye amesema serikali ya Tanzania iliitaka kampuni ya Starlink inayomilikiwa na Elon Musk kuweka ofisi zake hapa nchini ili waweze kulinda data za watumiaji na kuwajibika kwa watanzania.
Source:
=====
Pia soma: Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania