Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.

Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.


====

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Nape Nnauye amesema serikali ya Tanzania iliitaka kampuni ya Starlink inayomilikiwa na Elon Musk kuweka ofisi zake hapa nchini ili waweze kulinda data za watumiaji na kuwajibika kwa watanzania.

Source:


=====

Pia soma:
Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania
 
View attachment 2532898
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania. Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.
Tulilitegemea maneno mafafu haya , Vodacom, Airtel, ....,wameshampa X Bilion zake, Sijajua Rais anamwacha huyu kwa faida ya nani au kwa lipi analolifanya zaidi ya kuwa wakala wa mafisadi wa Airtel, Voda.... Huyu ni katiya watu wenye very low IQ kuwa waziri...
 
Nape kaisha tiwa mfukoni na hawa Voda na Tigo ambao wanajua akija Starlink mapato yao yatapungua sana!

Lkn niseme tu kusua sua kupewa leseni Starlink ambao wana bei nafuu na net bora ni matokeo ya akili mbovu za watz,ilipaswa tumlazimishe Nape asaini mkataba kwa nguvu ya UMMA

Sababu wanazo toa serikali ni za hovyo hovyo tu
 
Yaani hii nchi ina viongozi wa hovyo mpaka unataman hata kuhama nchi,hivi Nape kweli mpaka sasa bado yuko pale anafanya nini?

Ni mfumo wa ‘wana CCM wakongwe’ kulinda familia kwa kazi ya serikali!

Baba yake Nape alikuwa role model wa akina Lt Makamba,Col Kinana akina Lt Col JK ambao sasa wana nguvu mno ya maamuzi Tanzania, as long as JK na Kinana na Makamba wapo,Nape hawezi enda popote

Magu hakua mwana CCM elite ndiyo maana aliwafukuza watoto wa elites kama hawa.

Sometimes Magu alikuwa very right.
 
Back
Top Bottom