Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

Tunaelewa mmeweka vikwazo vya kimakusudi kumkwamisha ili aonekane yeye ndio ameshindwa kukubaliana na terms

Hatuna viongozi wenye akilli za kutupigania kwenye maendeleo yanayogusa wananchi, tuna viongozi wenye akili za kufanya njama za kukata mirija ya neema kwa wananchi ili wafaidika wawe wao.
 
atatakiwa pia kuwa na kadi ya chama, kuvaa magwanda ya kijani, kuhudhuria shughuli za chama na vikao pale chimwaga.

Elon Musk sidhani kama anatuhitaji kuliko tunavyomhitaji na starlink yake, kesho atakwenda Zambia, Kenya, Malawi nk na kuwapa huduma tukija kustuka itakuwa too late na itabidi madalali watutafune ili tupate huduma.

Mwisho Makada huwa tunasema, CCM hoyee, zidumu fikra za mwenyekiti.
 
Hahaa nilitarajia zengwe za kutosha plus usanii kutoka kwa hawa watawala na sasa ndio kinacho onekana kwamba Staelinki isha tengenezewa zengwe na wakina Nape.

Screenshot_20230228_200036_com.twitter.android.jpg
 
Nilijua watakuja na sababu dhaifu hao wenye ofisi mbona wanaiba data kila kukicha na wewe ndio unawatetea...kwani nini usiwape kwa kuwaangalia hata muda mchache kwanza mkiona wanafaa mnawapa kibali cha muda mrefu hamtaki kukuza mapato TRA wanawaangalia kwa majibu yenu hayo...
 
Back
Top Bottom