Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
google, twitter, facebook, youtube wana ofisi hapa bongo?View attachment 2532898
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon...
Whatsapp, Facebook na Badoo wana ofisi nchini?Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania. Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.
Umakini wake uko wapi?Nape ni Makini sana
Naweza kuamini mkuu hao jamaa watakuja kuua haya makampuni ya kijambazi..Star link ikiingia Tanzania na nape akiwa waziri mje mniue nimekaa pale
Lame excuse. 😏😏View attachment 2532898
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa...
Nape na serikali yake wanataka ofisi ili wasiojulikana waweze kuwafikia ofisini mwao ikihitajika, hilo tu hakuna jingine.