Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

View attachment 2532898
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania...
Tunamlaumu Nape bure tu wakumlaumu ni Yule jamaa aliemtolea nape bastola kwanini hakumtwanga ya kichwa moja tu akatuondolea haya maviongozi ya ten percent ovyo kabisa
 
Tunamlaumu nape bure tu wakumlaumu ni Yule jamaa aliemtolea nape bastola kwanini hakumtwanga ya kichwa moja tu akatuondolea haya maviongozi ya ten percent ovyo kabisa
Regardless, kwa sirikali hii isingepita hata kwa nini, Elon aligusa wa ndaniii kabisa.
 
View attachment 2532898
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.

Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.
Anatoa sababu hizo anajua hamwezi kimuliza starlink kama kweli sababu ni hiyo.

Mi huwa siwaamini mbayuwayu

Hatutaki ulinzi, wateja tutajilinda wenyewe.

Mbona tunafanya biashara na wachina mtandaono na hawana ofisi bongo?
 
View attachment 2532898
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.

Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.
Wanawapa vibali makampuni ya kitapeli kama kalyndar sijui Q net wafanya biashara za mitandao alaf kampuni legit kama starlink inaekewa vikwazo chungu mzima
 
Nape huyo akubali Starlink Ije! Pandikizi la kundi lile amewekwa hapo kuongea wanachotaka watu wale. Nape wewe ni mmoja wa watu wanaorudisha hili taifa nyuma. Nchi hii ipo tayari kuomba mikopo kuchwa kutwa lkn kwa wawekezaji wanaoona wataua maslahi yao utaskia mara hivi mara vile
 
Safi sana uko makini. Piga kazi waweke ofisi ili watanzania wenye vigezo wapate ajira.
Wasije na kampuni kwenye begi na ofisi kwenye sandaharusi.
 
View attachment 2532898
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.

Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.
Payroll Ina nguvu sana ila time will tell
 
Uongo Uongo! Wakija hapa mapato yatapungua.
Kampuni za simu zilizopo zinahonga fedha nyingi ili zibake zenyewe. Unajua siku hizi mapato makubwa ya hizi kampuni yanatokana na data, hivyo wanaogopa watapoteza soko.

Pia serikali inaogopa itapoteza udhibiti wa kidikteta kwa watumiaji wa intenet, ku-hack simu za watu na makandokando yote yanayoendana na uminyaji wa uhuru wa habari. Lakini ni suala la muda tu kwani Tanzania haiwezi kuwa kisiwa.
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Nape Nnauye amesema serikali ya Tanzania iliitaka kampuni ya Starlink inayomilikiwa na Elon Musk kuweka ofisi zake hapa nchini ili waweze kulinda data za watumiaji na kuwajibika kwa watanzania.

Nipashe
 
Back
Top Bottom