Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunamlaumu Nape bure tu wakumlaumu ni Yule jamaa aliemtolea nape bastola kwanini hakumtwanga ya kichwa moja tu akatuondolea haya maviongozi ya ten percent ovyo kabisaView attachment 2532898
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania...
Regardless, kwa sirikali hii isingepita hata kwa nini, Elon aligusa wa ndaniii kabisa.Tunamlaumu nape bure tu wakumlaumu ni Yule jamaa aliemtolea nape bastola kwanini hakumtwanga ya kichwa moja tu akatuondolea haya maviongozi ya ten percent ovyo kabisa
Anatoa sababu hizo anajua hamwezi kimuliza starlink kama kweli sababu ni hiyo.View attachment 2532898
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.
Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.
Wanawapa vibali makampuni ya kitapeli kama kalyndar sijui Q net wafanya biashara za mitandao alaf kampuni legit kama starlink inaekewa vikwazo chungu mzimaView attachment 2532898
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.
Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.
Wanataka Elon awe ana ofisi hapa Tanzania ili kutwa wawe wanampelekea barua za kumuomba michango ya kukimbiza mwenge na upuuzi mwingine wa design hiyo.sisi tunataka huduma, mambo ya ofisi yanakujaje sasa?
Payroll Ina nguvu sana ila time will tellView attachment 2532898
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.
Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.
Kampuni za simu zilizopo zinahonga fedha nyingi ili zibake zenyewe. Unajua siku hizi mapato makubwa ya hizi kampuni yanatokana na data, hivyo wanaogopa watapoteza soko.Uongo Uongo! Wakija hapa mapato yatapungua.
Kimsingi huyo Musk ndiyo anataka kutulinda kutokana na ukandamizaji unaofanywa na kina Nape. Serikali ya CCM haijawahi hata siku moja kumjali mwananchi.Aliyemwambia tunataka kulindwa nani?
Apeleke ufala wake huko waziri jinga hili!
Hawagusiki hao wana mizizi kila sehemu inabidi mama awe mpole tu wana chain kubwa hao magufuli na ujanja wake wote hapo alichemkaThrough
Nape
January
Mwigulu
Ndio natambua uwezo mdogo wa chifu hangayaaa