Waziri Nape jiuzulu haraka, unatishia amani ya taifa letu

Kama kweli ana akili, kwa kauli tata aliyotoa kuhusu uchaguzi, "ajiuzulu ". JPM alimuondoa haraka alipovurunda.
 
Kama mtu somo la uraia alipata F unategemea kipi kipya kutoka kwake ?
 
Nashangaa inakuwaje Nape kwanini yupo ofsini hadi Leo.
Yaani ametoa kauli chafu na kuharibu amani yetu Bado anaona utani?
Utani Gani au uhuni amekuwa akirudia hii kauli.

Me ni mwana CCM ili siwezi kufurahishwa na ushindi wa wizi na kunajisi democracy. Tushindane Kwa sera na vyama vingine atakaeshinda ndo huyo

Hivi waziri tunaekuheshimu kujisifu ati ni mtaalamu wa kuiba kura na kunajisi democracy unasema ni utani

Nape amejivunjia heshima au anataka tuandamane kama Kenya?
Ametuona Watanganyika wapumbavu.

Rais Samia mtoe huyu jamaa ofsini haraka, ili tukuamini tuone kweli hii kauli ya mtendaji wako ilikuchukiza.
Kwani yeye ndo alizaliwa kuwa waziri.

Moderators msifute huu Uzi.
Maana naona nyuzi za kumhusu Nape mnafuta
Atapelekwa wizara nyingine
 
Yaani kama ni Nyoka, Ushauri wako ni kama kudeal na mkia tu wakati kichwa kinaendelea kufanya yake.. (Tena nisiongelee Nyoka bali mjusi ukishika mkia anakuachia mkia mwingine unaota na anaendelea alipoishia)
 
Nashangaa inakuwaje Nape kwanini yupo ofsini hadi Leo.
Yaani ametoa kauli chafu na kuharibu amani yetu Bado anaona utani?
Utani Gani au uhuni amekuwa akirudia hii kauli.

Me ni mwana CCM ili siwezi kufurahishwa na ushindi wa wizi na kunajisi democracy. Tushindane Kwa sera na vyama vingine atakaeshinda ndo huyo

Hivi waziri tunaekuheshimu kujisifu ati ni mtaalamu wa kuiba kura na kunajisi democracy unasema ni utani

Nape amejivunjia heshima au anataka tuandamane kama Kenya?
Ametuona Watanganyika wapumbavu.

Rais Samia mtoe huyu jamaa ofsini haraka, ili tukuamini tuone kweli hii kauli ya mtendaji wako ilikuchukiza.
Kwani yeye ndo alizaliwa kuwa waziri.

Moderators msifute huu Uzi.
Maana naona nyuzi za kumhusu Nape mnafuta
Nape ni msema kweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu. CCM ni majizi ya kura yaliyokubuhu.
 
Aliposema ccm ita ltashinda hata kwa bao la mkono...alichukuliwa hatua gani?
 
Nashangaa inakuwaje Nape kwanini yupo ofsini hadi Leo.
Yaani ametoa kauli chafu na kuharibu amani yetu Bado anaona utani?
Utani Gani au uhuni amekuwa akirudia hii kauli.

Me ni mwana CCM ili siwezi kufurahishwa na ushindi wa wizi na kunajisi democracy. Tushindane Kwa sera na vyama vingine atakaeshinda ndo huyo

Hivi waziri tunaekuheshimu kujisifu ati ni mtaalamu wa kuiba kura na kunajisi democracy unasema ni utani

Nape amejivunjia heshima au anataka tuandamane kama Kenya?
Ametuona Watanganyika wapumbavu.

Rais Samia mtoe huyu jamaa ofsini haraka, ili tukuamini tuone kweli hii kauli ya mtendaji wako ilikuchukiza.
Kwani yeye ndo alizaliwa kuwa waziri.

Moderators msifute huu Uzi.
Maana naona nyuzi za kumhusu Nape mnafuta
Kweli sikio la kufa...
Hivi nyinyi machawa mnataka nchi ije kuingia kwenye machafuko kama majirani zetu au nini?? Vivi hivi mlimpoka job ngugai uspika ilhali alichosema ni ukweli mtupu. Cha ajabu utakuta huyu anayejiita ccm hata cheti cha certificate hana, ndio maana anashindwa kuchanganua kipi cha kuongea madhara I n kipi cha kuongea akiwa n machawa wenzie. Na kama kweli huyo mwamba ataondoka, itakuwa bayana tz hakuna demokrasia tena.
 
Hapa ndo tutajua rangi halisi ya Rais wetu
Zaidi ya rangi hii aliyonayo? Alisema ataunda tume huru ya uchaguzi iko wapi. Katiba mpya aliahidi, saa hii anasema hadi watu wapate bachelor, kana kwamba katiba mpya ni suala la kitaalamu. Inshort huyo mama ni laghai fulani.
 
Nashangaa inakuwaje Nape kwanini yupo ofsini hadi Leo.
Yaani ametoa kauli chafu na kuharibu amani yetu Bado anaona utani?
Utani Gani au uhuni amekuwa akirudia hii kauli.

Me ni mwana CCM ili siwezi kufurahishwa na ushindi wa wizi na kunajisi democracy. Tushindane Kwa sera na vyama vingine atakaeshinda ndo huyo

Hivi waziri tunaekuheshimu kujisifu ati ni mtaalamu wa kuiba kura na kunajisi democracy unasema ni utani

Nape amejivunjia heshima au anataka tuandamane kama Kenya?
Ametuona Watanganyika wapumbavu.

Rais Samia mtoe huyu jamaa ofsini haraka, ili tukuamini tuone kweli hii kauli ya mtendaji wako ilikuchukiza.
Kwani yeye ndo alizaliwa kuwa waziri.

Moderators msifute huu Uzi.
Maana naona nyuzi za kumhusu Nape mnafuta
Hakika Rais Samia alipita kwenye uzi huu
 
Back
Top Bottom