GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkimaliza Kuzideki hizo Barabara za Mkoa wa Lindi (hasa za hapo Mjini) kabla ya Ziara ya Rais Dk. Samia hakikisheni hamsahau pia na Kudeki Akili zenu ambazo yawezekana kutokana na Kuchafuka ndiyo zinastahili Kudekiwa zaidi ili zisafishike hata kuliko hizo Barabara.
Kwa anayetaka kuona Waziri Nape Nauye na wana Lindi Wakideki Barabara kabla ya Ziara (Ujio) wa Rais Dk. Samia huko wapitie Mtandao wa East African Television (EAtv)
Tanzania bila Unafiki haiwezekani.
Kwa anayetaka kuona Waziri Nape Nauye na wana Lindi Wakideki Barabara kabla ya Ziara (Ujio) wa Rais Dk. Samia huko wapitie Mtandao wa East African Television (EAtv)
Tanzania bila Unafiki haiwezekani.