Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
aseee nawe ni mpenziSAtakuwa Muislam mwenzako huyo, hataki tutazame mitako ya bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aseee nawe ni mpenziSAtakuwa Muislam mwenzako huyo, hataki tutazame mitako ya bure.
Nape Hana uwezo huoHapa ngoja nimgfahamishe, Nape kuna softwre siku hizi kama VPN lakini siyo VPN iliyozoweleka.
Sifahamu hiyo waiandikisha vipi?
Haya mambo ya mtandao, yeye angefanya kama nchi zingine, tena katoka India juzi, India wanzuwia mpaka VPN wasichotaka usione huoni na wanaweza kuku trace hata ukiwa nyuma ya VPN Bila kupizigizana kelele na mtu
Hi teknolojia si mchezo, Wahindi inasemekana sijuwi simu Iphone haziingiliki, wahindi wanaingia tena njiani tu utamkuta mtu na kimeza chake na wanakubadilishia chochote unachotaka wanakupa mpaka IMEI mpya na simu yako ileile.
Wahindi kwa usicheze nao kabisa kwa mambo ya IT.
Ngoja nipongee nao nipige pesa za ghafla, niwape watu ki sfyware kidogo tu, hakuna anaekuona wala kuku trace bila VPN.
Ummy Mwalimu nae si tuliisha mpa yake kajitrejkebisha kidogo.Vipi kuhusu ummy mwalimu?
Yeye si ndo zimamoto plus
Au Hilo hulioni kwakua ni muislam Mwenzio?
Tatizo walimpa wizara sio yakeUmmy Mwalimu nae si tuliisha mpa yake kajitrejkebisha kidogo.
At least wizara yake kuna plan sasa hivi, inagawa haijakaa sawa, lakini ipo, wanaelewa kabisa wanachokifata.
Lakini wizara ya huyu mama, ni kipofu kabisa, hawana plan yoyote wanayoifata.
Sidhani hata kama wana yearly updated policy and pcedures za wizara zao. Utakuta zipo walizozikuta, za miaka 40 nyuma.
Mawaziri wanafikiri hizo nim kazi za Katibu Mkuu, wao kazi yao ni kupiga porojo za kisiasa tu, hawaelewi kuwa wakati huo ulishapita. Mama Samia yupo mbali sana, anataka Reforms na Rebuilding ya wizara na idara zote.
Waziri anatakiwa achape kazi kuliko katibu wake Mkuu.
Hey vichaa wapo wa aina nyingi sanaView attachment 2786085
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hilo linatokana na ongezeko la Wananchi zaidi ya 50% kutumia Intaneti ambapo kama kuna mtu ana mawazo ya hovyo atatamani kufanya majaribio yake huko, hivyo Serikali imekuwa ikitunga Sheria zitakazowalinda watumiaji wake.
Akizungumzia suala la Usajili wa Watumiaji wa VPN amesema suala hilo linafanyika ili kuwatambua Watumiaji wake pamoja na kuzuia uhalifu Mtandaoni na Serikali haiwezi kuacha kila mtu aingie kiholela na akafanya anachokitaka na tayari wapo Watu ambao wamefikishwa Mahakamani na wengine wamefungwa kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya Mtandao.
Ameongeza "Tutaendelea kupafanya Mtandaoni kuwa sehemu salama kwasababu maisha ya sasa yanategemea Mtandao, usipofanya mtandao kuwa salama unafanya Nchi kutokuwa salama na msimamo wetu ni kwamba njia yoyote ya mawasiliano itumike ikiwa salama".
Mkuu wewe ndio unajiitaga mzee wa tangu uhuru?Hapa ngoja nimfahamishe, Nape kuna software siku hizi kama VPN lakini siyo VPN iliyozoweleka.
Sifahamu hiyo waiandikisha vipi?
Haya mambo ya mtandao, yeye angefanya kama nchi zingine, tena katoka India juzi, India wanazuwia mpaka VPN wasichotaka usione huoni na wanaweza kuku trace hata ukiwa nyuma ya VPN Bila kupigizana kelele na mtu
Hi teknolojia si mchezo, Wahindi inasemekana sijuwi simu Iphone haziingiliki, wahindi wanaingia tena njiani tu utamkuta mtu na kimeza chake na wanakubadilishia chochote unachotaka wanakupa mpaka IMEI mpya na simu yako ileile.
Wahindi usicheze nao kabisa kwa mambo ya IT.
Ngoja niongee nao nipige pesa za ghafla, niwape watu ki software ndogo tu, hakuna anaekuona wala kuku trace bila VPN.
Nani kakwambia vpn inatumika kuangalia ngono? Ngono unaweza ukaangalia hata twitter au telegram bila vpn. Huyu kenge maji hajui kuwa kuna fursa kubwa kwenye proxy na vpn.SAtakuwa Muislam mwenzako huyo, hataki tutazame mitako ya bure.
Zero brain ,lView attachment 2786085
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hilo linatokana na ongezeko la Wananchi zaidi ya 50% kutumia Intaneti ambapo kama kuna mtu ana mawazo ya hovyo atatamani kufanya majaribio yake huko, hivyo Serikali imekuwa ikitunga Sheria zitakazowalinda watumiaji wake.
Akizungumzia suala la Usajili wa Watumiaji wa VPN amesema suala hilo linafanyika ili kuwatambua Watumiaji wake pamoja na kuzuia uhalifu Mtandaoni na Serikali haiwezi kuacha kila mtu aingie kiholela na akafanya anachokitaka na tayari wapo Watu ambao wamefikishwa Mahakamani na wengine wamefungwa kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya Mtandao.
Ameongeza "Tutaendelea kupafanya Mtandaoni kuwa sehemu salama kwasababu maisha ya sasa yanategemea Mtandao, usipofanya mtandao kuwa salama unafanya Nchi kutokuwa salama na msimamo wetu ni kwamba njia yoyote ya mawasiliano itumike ikiwa salama".
Lakini ndo kipenzi cha Saa100 au ndo ndege wafananaoHakuna wazir pale
View attachment 2786085
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hilo linatokana na ongezeko la Wananchi zaidi ya 50% kutumia Intaneti ambapo kama kuna mtu ana mawazo ya hovyo atatamani kufanya majaribio yake huko, hivyo Serikali imekuwa ikitunga Sheria zitakazowalinda watumiaji wake.
Akizungumzia suala la Usajili wa Watumiaji wa VPN amesema suala hilo linafanyika ili kuwatambua Watumiaji wake pamoja na kuzuia uhalifu Mtandaoni na Serikali haiwezi kuacha kila mtu aingie kiholela na akafanya anachokitaka na tayari wapo Watu ambao wamefikishwa Mahakamani na wengine wamefungwa kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya Mtandao.
Ameongeza "Tutaendelea kupafanya Mtandaoni kuwa sehemu salama kwasababu maisha ya sasa yanategemea Mtandao, usipofanya mtandao kuwa salama unafanya Nchi kutokuwa salama na msimamo wetu ni kwamba njia yoyote ya mawasiliano itumike ikiwa salama".
Hajanambia mtu, nimesoma comments za watu hapahapa JF.Nani kakwambia vpn inatumika kuangalia ngono? Ngono unaweza ukaangalia hata twitter au telegram bila vpn. Huyu kenge maji hajui kuwa kuna fursa kubwa kwenye proxy na vpn.
Kazi ya Mungu haina makosa.Lakini ndo kipenzi cha Saa100 au ndo ndege wafananao
TCRA waanze nae yeye anaeandika "USENGE" bila aibu mtandaoni