ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Akijibu huyo suruali fupi uniitemkuu Covax japo mimi ni mkristu tena katoliki ila nimestuka kwann serikali ilipe 40b kwa kanisa kila mwaka nadhan sio sawa hata kidogo. Nikapata maswali ambayo na amini unaweza kutusaidia wanaJF;
1.kwanini wanalipwa?
2.je wasipolipwa watatufanya nn au nn kitatokea?
3.kwa gharama wanazochaji sasa wanaweza kuendesha hizo hospitali bila ya rudhuku kutoka serikalini?
4.unadhani serikali ikiacha kutoa hizo pesa kwa hizo hospital za kanisa na kanisa liamue lijiendeshe kwa fedha zake unadhan gharama tunazotozwa wagonjwa zitabaki kama zilivyo sasa?
5.Kama kanisa litapandisha gharama kwa wagonjwa kwa kukosa ruzuku serikalini unadhan tuliowengi tutaweza kumudu gharama za matibabu ikiwa kwa sasa japo ya kupewa ruzuku bado matibabu yanatushinda.?
6.vp kanisa likiamua kufunga hospitali zake kwa mukosa ruzuku ya kujiensesha nn kitatokea?
Naomba uje na takwimu sahihi ili tuwe na pakuanzia pale tunapotaka kuipambania serikali na jamii yetu kwa ujumla.
Thanks