Waziri Ndalichako better late than never; Mikopo ya elimu ya juu hailipiki sababu ya Value Retention fee ya 6%

Historia mpya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Hii nchi ina kila aina ya maajabu

Sijui somo hilo litaitwaje[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi nawaza mtu wa advance atoke kubutua Chand, mara vuu [emoji648] pure, afu azamie mambo ya moringe sokoine, jamani khaaaaaaaah. Mie nipo hoi wallah
 
Ni nyota nyota tu kwa kwenda mbele[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi

Mkuu silipi kwa hizo value kamweeee[emoji38][emoji38][emoji38],kama mnanisumbua nawambia hivi, miradi yote nitakayokuwa nayo ntaisajiri kwa jina la mtoto wangu aseee, ikiwezekana jina la dada yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni nyota nyota tu kwa kwenda mbele[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shule bora kuna F somo fulani laja kwa kasi ya 6G, hakna mwanafunzi atakae weza kuhimili huu mvurugano.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shule bora kuna F somo fulani laja kwa kasi ya 6G, hakna mwanafunzi atakae weza kuhimili huu mvurugano.
Huo mchanganyiko kama kachumbari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila mimi nacheka kama mazuri,,ni maajabu ya dunia[emoji1787]
 
Mimi nafikiri hii loan board kuna mirija ya wapigaji, maana hakuna anayejali pamoja na malalamiko ya wadau....tangu lini popote pale duniani elimu ambayo serikali ina wajibu wa moja kwa moja kuigharamia, itolewe kwa mkopo ambao ni zaidi ya mkopo wa benki ya kibiashara....
 
Mimi

Mkuu silipi kwa hizo value kamweeee😆😆😆,kama mnanisumbua nawambia hivi, miradi yote nitakayokuwa nayo ntaisajiri kwa jina la mtoto wangu aseee, ikiwezekana jina la dada yangu🤣🤣🤣
Hamna kitu apooo
 
Kwani amesema hataki kulipa deni? Rudia kusoma upya
 
Hayo ni maagizo toka Top kua wanufaika wa mkopo wawe kama ngombe wa maziwa...hali akashiba atoe maziwa ya kutosha
 
Inashangaza sana.Halafu anaibuka mtu anasema et yeye ni mtetezi wa wanyonge!
Mnyonge gani anaetetewa?
Dhiki zikitamalaki hata vizazi vyao havitakuwa na furaha
Labda hii ifanyike baada ya mifive tena
Sanga anasema atake asitake....
 
Mimi

Mkuu silipi kwa hizo value kamweeee😆😆😆,kama mnanisumbua nawambia hivi, miradi yote nitakayokuwa nayo ntaisajiri kwa jina la mtoto wangu aseee, ikiwezekana jina la dada yangu🤣🤣🤣
Hatulipi labda mtufuate majumbani na mkinifuata nahama sinza nahamia mpanda ndani ndani huko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi nawaza mtu wa advance atoke kubutua Chand, mara vuu [emoji648] pure, afu azamie mambo ya moringe sokoine, jamani khaaaaaaaah. Mie nipo hoi wallah
Anatoka kutafuna limkate la Biological Science ghafla anaingia mambo ya Mtwa Mkwava
 
Viongozi wengi haya mambo hayawahusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…