Waziri Ndejembi aagiza kuundwa kwa kamati ya Uchunguzi wa hitilafu ya Gridi ya Taifa

Ulaji mwingine unatengenezwa hapo; nchi ya kipuuzi sana hii. 😊
 

Huyo waziri angeonekana wa maana na anayejali sana watanzania kama angejiuzulu haraka na siyo kuja na ngonjera za kuunda tume za upigaji.
 
Huyo waziri angeonekana wa maana na anayejali sana watanzania kama angejiuzulu haraka na siyo kuja na ngonjera za kuunda tume za upigaji.
Unaendeleaje mkuu habari za siku
 
Haya, kaishatolewa. Hiii nchi ni Janga! Gari bovu lililo mteremko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…