Waziri Ndumbaro awajibishwe kwa matokeo mabovu Law School


Hoja wazipate wapi wapambe nuksi?
 
Waziri Ndumbaro tayari alikuwa na mlengo wa ripoti ikaaje,

Tayari aliamini kuwa wanafunzi ni wazembe, hawasomi na wanafundishwa vibaya na walimu wao wa undergraduate.

Ripoti ilipotoka ikapita humohumo, Waziri akafurahishwa na Ripoti na akabariki Shule ya Sheria (LST) kupandisha ada kutoka Tshs. 1,590,000/= mpaka kuwa Tshs. 3,000,000/=
 

Kinachoshangaza ni wanafunzi LST kutokutumia nguvu. Wanasubiri huruma au usaidizi wa nani?

Wanafunzi Law School mnayo nafasi ya kujipigania
 
ndiyo aliyefanya mtihani? Nyie vilaza km shule imewashinda mnaona aibu kurudi mlikotoka?
 
hamia Burundi
 
Bila kuwakomalia wasiowajibika hawa wanatuchukulia poa tu. Tume imeleta nini kama majibu au ufumbuzi.
imeshajulikana we ni kilaza unahangaika ubebwe na wanasiasa, siyo lazima usome km huwezi katafute kazi nyingine.
 
Mtu anayejiamini, anayejituma hawezi kuhangaika na threads km hizi. Huu ni uchovu wa kiwango cha juu. Katafute shule waachie wanaoiweza wote hatuwezi kusoma.
 
Sasa hao wanao faulu wao wanasoma vipi?

Ingekua hakuna hata mmoja anayefaulu hapo sawa! Otherwise someni msitafute huruma.
 
Sasa kama wanasoma vitu walivyo soma chuoni na bado wanafeli ina maana hata huko chuoni walikua wanakariri tu!!
 
imeshajulikana we ni kilaza unahangaika ubebwe na wanasiasa, siyo lazima usome km huwezi katafute kazi nyingine.

Ni kawaida kwa mijitu isiyoelimika kujawa na ubinafsi, wivu, choyo, husuda, fitna, ujinga, na ujuaji uliopitiliza.

Unasomeka ndugu mjinga. Huna jipya
 
Wanafunzi wajinga wafeli then waziri awajibishwe it doesn't make sense
 
Mtu anayejiamini, anayejituma hawezi kuhangaika na threads km hizi. Huu ni uchovu wa kiwango cha juu. Katafute shule waachie wanaoiweza wote hatuwezi kusoma.
Hizi unahangaika nazo mtu kama wewe sio😄😄😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…