Waziri Ndumbaro: Royal Tour ya Rais Samia yaanza kuzaa matunda kwa kuleta wawekezaji

Waziri Ndumbaro: Royal Tour ya Rais Samia yaanza kuzaa matunda kwa kuleta wawekezaji

Yani mtu akifanikiwa hata kukubaliwa na demu mkali awamu hii,pongezi zitaenda kwA royal tour 😂😂
 
Ama kweli Tanzania yangu, ni bora kama matunda ya elimu ndo haya shule zifungwe tu watu wakavue samaki ...nchi ya wasanii hii na kumbe ndo maana wanaicha Ikulu wanakimbilia ajira za kaole
 
naona tatiz lipo kweny uwasilishaji tu wawatu ila ukiangalia hp sio kama watu/ wawekezaji hawaijue tanzania na vivutio tatz bado tulikuwa tunapata watali wachache kwahy wawekezaji wanajua wakiwekeza itakua hasara kwao, kwahy kwa ss wamesha jua tumeamua kuongeza nguvu kweny utali kimoja ni hy royal tour kwahy wanaamini watali wataongezeka endapo watanaona hy matangazo ya mama

wamecheza na fursa wakiamini ikitoka hy film na sio imetoka ikawavuta.
 
Back
Top Bottom