Waziri Ndumbaro: Wamasai waishio Ngorongoro siyo wenyeji halisi wa Ngorongoro

Waziri wa ajabu sana huyu. Naona amechoka kazi hiyo ya kuwatumikia Watanzania.
 
Mungu anawavuruga. Endeleeni kuchanganyikiwa hivyo hivyo.
 
Mie mwenyewe nimezaliwa hapa na mababu zangu kibao lakini leo naweza kuambiwa mkimbizi ghafla. Tz kila kitu ni imaginations utadhani ni nchi ya wachawi
 
🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Watu msipotoshe kauli ya waziri
Waziri alikua anajibu swali kuhusuNgorongoro kuwa "acentral land" ya Wamasai. Na akajaribu kuonyesha huo uwongo unaokuzwa na NGO's lukuki zilizo jazana Ngorongoro kuwa hao waliletwa hapo na Wakoloni mwishoni mwa miaka ya hamsini tuu, na sio kweli kuwa hiyo ni ardhi yao ya miaka na mikaka kwani miaka hiyo walikuwa njiani toka Sudan.
 
Maasai wahame au wapunguzwe, ķupunguza watu sio ubàguzi, ni maendeleo kwani ardhi ni mali ya rais. Hivyo basi waondolewe kama wana madhara, mbona sehem7 nyingine watu waliamishwa mfano kahama baada ya ugunduzi wa dhahabu.
 
Maasai wahame au wapunguzwe, ķupunguza watu sio ubàguzi, ni maendeleo kwani ardhi ni mali ya rais. Hivyo basi waondolewe kama wana madhara, mbona sehem7 nyingine watu waliamishwa mfano kahama baada ya ugunduzi wa dhahabu.
Nikurekebishe kidogo, ardhi sio Mali ya rais, ni Mali ya umma wa Watanzania, rais ni mdhanini tuu, kwa niaba yetu
P
 
Na wamasai wakijibu kwamba wangoni nao sio wenyeji wa Ruvuma.Huyu waziri atajisikiaje?
Kuna kauli zingine za kipumbavu hata hazifai kujadiliwa kwa kina.Hii ni mojawapo.
Huyu waziri awaombe radhi wamasai wa Ngorongoro na watanzania kwa ujumla.
 
Reactions: Tui
Tukianza kuchimbana hapa kutakuwa hakuna mtanzania wa asili, nchi kama Sudan, somalia etc sababu ya vita visivyoisha ni upuuzi kama huu unaoitwa asili, Kiongozi mkubwa kama waziri hatakiwi kutoa statement careless namna ile
 
Reactions: Tui
Warudisheni huko Serengeti Sasa.
 
Reactions: Tui
Basi warudishwe Serengeti kama Ngorongoro siyo kwao. Jamii hii ya wafugaji ndiyo ambao wametusaidia hadi leo tina hizo hifadhi za wanyama sasa kama zawadi yao ni mateso basi semeni. All we enjoy mpaka sasa ni kwasababu yao, get your facts right!
Ame, wanaotaka Jamii ya Wafugaji wa Kimasai waendelee kuishi bila haki ya kumiliki ardhi, bila haki ya kuishi kwenye nyumba bora, bila kuendesha vyombo vya moto, waeleze bayana kuwa wako tayari kuhamia huko Ngotongoro, wao na wake zao au waume wao na watoto wao. Kinyume cha hapo, wajiitao Watetezi ni Wanafiki
 
Wangoni, wamasai, wachaga, waha, wahaya, wanyakyusa, wawanji, wamakonde na wamakua, wajaluo, wahangaza, na kadhalika hao ni watu wakuja Tanzania sio asili yao waangalie hata mfumo wa maisha yao
vikauli vya kipuuzi kama hivi mwisho wake ni vita tuu na chuki tuu
 
What a stupid minister that we have.
 
Haki kama wanahitaji si wangeomba? Tangu lini kiatu usichokivaa ukajua kinaumiza wapi? Mnafiki nani kati ya wanaojidai wanawatafutia haki wakati wao wenyewe wanaona wanapokwa haki yao?
 
Wewe ng'ombe mwache Rais wetu Magufuli ameshamaliza kazi yake na sasa anapumzika huko kwa Mwenyezi Mungu. Tunajua wewe ni fisadi kubwa hapa TZ ulinyooshwa wakati wa Magufuli hata sasa hivi utaendelea kunyooshwa tu pamoja na kujipendekeza kwa Mama Samia!
 
Magufuli hawezi kupumzika, ataendelea kuungua tu na moto wa jehanam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…