Waziri Selemani Jafo amsema Mkurugenzi wa SCOL Building Contractors Limited hadi akaanguka na kuzimia

Waziri Selemani Jafo amsema Mkurugenzi wa SCOL Building Contractors Limited hadi akaanguka na kuzimia

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii tz nyosoooo yani nmecheka kwa sautiiiii
 
Mkuu huyo mtu ndio mmiliki wa skol sidhani km unaweza kumdharau hivyo. Always anavaa hivyo au ovaroli usimchukulie poa. Ana mashine za construction kibao halafu unaongelea buku 5.
Wacheni utani huyu bwana sidhani hata elfu tano alikuwa nayo mfukoni, kachoka mno, hizi kazi Bora tukapime matikiti tukauze barabarani Kama JPM alivyoshauri
 
Mkuu huyo mtu ndio mmiliki wa skol sidhani km unaweza kumdharau hivyo. Always anavaa hivyo au ovaroli usimchukulie poa. Ana mashine za construction kibao halafu unaongelea buku 5.
Huyo ''aliyezimia'' na huyu mwingine alisema ni mkurugunzi mbona wanaonekana wamechoka sana halafu ni kama watu wa pombe kali? Kweli tembea uone mengi. Hawa ni wale wakandarasi wa kimagumashi.
 
Huyo ''aliyezimia'' na huyu mwingine alisema ni mkurugunzi mbona wanaonekana wamechoka sana halafu ni kama watu wa pombe kali? Kweli tembea uone mengi. Hawa ni wale wakandarasi wa kimagumashi.

Mkuu huyo aliyezima ndio mmiliki wa Skol, anapenda kushinda site sana..

Kazi za ukandarasi zina mambo mengi yaliyojificha si rahisi kwa mtu wa kawaida kuyajua, amepewa deadline ya 30dec na ukiangalia hiyo kazi bado mbichi kabisa lakini unaweza kuta anaidai serikali hela nyingi kupitia miradi mingine na huo hakuna alicholipwa na baadala yake amekopa afanye mobilization na kuanza site akiamini atalipwa somewhere ili maisha yaendelee, Mkuu Mengi hayasemwi ila ni vyema hizi kazi tukawapa mabeberu wenye financial stability na mikataba ya kimataifa na wanaweza kufanya mwanzo mwisho kwa fedha zao na msipowalipa wanauwezo wa kukamata mali..
 
Wanawake wa kizaramo wakitaka kumkomesha mtu umbea yaani kumsuta. Kwanza wananunua sare za madera ya buku saba saba. Wanavaa hiyo sare ndio wanamfuata mbeya au anayechukuliwa na mabwana zao. Hiyo shughuli inapangwa na mialiko ipo
 
Back
Top Bottom