Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 731
- 1,158
Mkuu kwa kisukuma neno kishindo ni tusi[emoji23][emoji23][emoji23]Hiki ndicho kishindo cha awamu ya tano
Wavivu hali mbaya
Mkuu kwa kisukuma neno kishindo ni tusi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu
mkuu wewe ndiyo muandaaji wa kule kipindi cha "kishindo cha awamu ya tano" kule tvt ya sasa
Wacheni utani huyu bwana sidhani hata elfu tano alikuwa nayo mfukoni, kachoka mno, hizi kazi Bora tukapime matikiti tukauze barabarani Kama JPM alivyoshauri
Mkuu kwa kisukuma neno kishindo ni tusi[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ''aliyezimia'' na huyu mwingine alisema ni mkurugunzi mbona wanaonekana wamechoka sana halafu ni kama watu wa pombe kali? Kweli tembea uone mengi. Hawa ni wale wakandarasi wa kimagumashi.Mkuu huyo mtu ndio mmiliki wa skol sidhani km unaweza kumdharau hivyo. Always anavaa hivyo au ovaroli usimchukulie poa. Ana mashine za construction kibao halafu unaongelea buku 5.
NaheneHahaha HapAna Mkuu
Mkandarasi mlevi huyo!
Hapo kashagonga makonyagi hata kusimama hawezi!
Hahaaa, unaogopa kuchambwa mpaka kuzimia duhKwa sasa nikikutana na Jafo ni salamu tu. Akianza maongezi mengine nakimbia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anaweza kuongea maongezi ya kawaida nikajikuta naanguka.Hahaaa, unaogopa kuchambwa mpaka kuzimia duh
Huyo ''aliyezimia'' na huyu mwingine alisema ni mkurugunzi mbona wanaonekana wamechoka sana halafu ni kama watu wa pombe kali? Kweli tembea uone mengi. Hawa ni wale wakandarasi wa kimagumashi.
Huu ndio utaratibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii tz nyosoooo yani nmecheka kwa sautiiiii