Waziri Selemani Jafo amsema Mkurugenzi wa SCOL Building Contractors Limited hadi akaanguka na kuzimia

Waziri Selemani Jafo amsema Mkurugenzi wa SCOL Building Contractors Limited hadi akaanguka na kuzimia

Nyie mshazoea kuibaa
Uwizi kwenu ushakomaaaa

Ova
 
Hivi kwenye masuala ya hapa kazi tu ni nani anajali maisha ya mwingine? Kwa sasa sidhani kama maisha yanathaminika tena... ukitazama vema hiyo clip huyo mkurugenzi hakuna aliyemjali kana kwamba ni paka tu aliyedondoka!! Mtu anawekeza fedha zake na muda anapambana na changamoto asizotarajia kisha siasa zinaingilia kati na kila mmoja anajali tumbo lake... yalipoanza kwa wengine wengi walijua yataishia kwa wanasiasa tu...
Tumeshaufuga ugonjwa umekomaa...
Tuvumiliane tu...
 
Mkandarasi akaona bora azimie kuliko kuendelea kumsikiliza Jafo
Wakati mwingine makandarasi hujiumiza wenyewe kwa kubeti Tenda kwa pesa ndogo wadake kazi pasipo kuzingatia gharama halisi na kiwango kizuri, wakipewa tenda wanakutana na gharama kubwa na changamoto ndipo vioja huanza, vya rahisi vinagharimu
 
Hao ndio watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii tz nyosoooo yani nmecheka kwa sautiiiii
[/QUOTE
Hahahaa hao ndio watu wa pwani yan hupigwi unasemwa hadi unazimia hahahaaa
 
Waziri Jafo atakuwa kapewa taarifa za hiyo kampuni toka kwa Bashite makonda
 
Mkuu huyo mtu ndio mmiliki wa skol sidhani km unaweza kumdharau hivyo. Always anavaa hivyo au ovaroli usimchukulie poa. Ana mashine za construction kibao halafu unaongelea buku 5.
Huyo ''aliyezimia'' na huyu mwingine alisema ni mkurugunzi mbona wanaonekana wamechoka sana halafu ni kama watu wa pombe kali? Kweli tembea uone mengi. Hawa ni wale wakandarasi wa kimagumashi.
walishindaje zabuni
Hili swali unauliza ukiwa Tanzania au?
 
Mkuu huyo mtu ndio mmiliki wa skol sidhani km unaweza kumdharau hivyo. Always anavaa hivyo au ovaroli usimchukulie poa. Ana mashine za construction kibao halafu unaongelea buku 5.
Dah...Nini kimewakuta SKOL? [emoji44]
 
Back
Top Bottom