Elena of Avalor
Member
- Nov 27, 2019
- 93
- 133
Nimecheka sana aisee
Utasema korean drama vile
Utasema korean drama vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo marehemu ni mtoto wa Vincent Massawe.Hizi taarifa ni kweli??View attachment 1282627
Unaogopa kuzimia?Kwa sasa nikikutana na Jafo ni salamu tu. Akianza maongezi mengine nakimbia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
AkomeHuyo marehemu ni mtoto wa Vincent Massawe.
Massawe ni kada wa CCM wa siku nyingi.
Sasa kada anadhalilishwa na serikali waliyoiweka madarakani.
Huyo si ndugu na Colman masawe? nadhani ni mteja huyo
Acha Mkurugenzi azime tu aiseeMzaramo.... Kisarawe 1 hiyoooo
Ova
Watu especially wanawake wanaongea sanaAcha Mkurugenzi azime tu aisee
Wakati mwingine makandarasi hujiumiza wenyewe kwa kubeti Tenda kwa pesa ndogo wadake kazi pasipo kuzingatia gharama halisi na kiwango kizuri, wakipewa tenda wanakutana na gharama kubwa na changamoto ndipo vioja huanza, vya rahisi vinagharimuMkandarasi akaona bora azimie kuliko kuendelea kumsikiliza Jafo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii tz nyosoooo yani nmecheka kwa sautiiiii
[/QUOTE
Hahahaa hao ndio watu wa pwani yan hupigwi unasemwa hadi unazimia hahahaaa
Huyo ''aliyezimia'' na huyu mwingine alisema ni mkurugunzi mbona wanaonekana wamechoka sana halafu ni kama watu wa pombe kali? Kweli tembea uone mengi. Hawa ni wale wakandarasi wa kimagumashi.Mkuu huyo mtu ndio mmiliki wa skol sidhani km unaweza kumdharau hivyo. Always anavaa hivyo au ovaroli usimchukulie poa. Ana mashine za construction kibao halafu unaongelea buku 5.
Hili swali unauliza ukiwa Tanzania au?walishindaje zabuni
Dah...Nini kimewakuta SKOL? [emoji44]Mkuu huyo mtu ndio mmiliki wa skol sidhani km unaweza kumdharau hivyo. Always anavaa hivyo au ovaroli usimchukulie poa. Ana mashine za construction kibao halafu unaongelea buku 5.
Kwa sasa nikikutana na Jafo ni salamu tu. Akianza maongezi mengine nakimbia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]