kandamatope
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 589
- 628
Cha kushangaza pamoja na kuzimia kwake
Mchaga kashikilia wallet yake.. [emoji23]
Mchaga kashikilia wallet yake.. [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, chezea mchaga?Ila Masawe kazimia kishujaa sanaa,mkono mmoja kabana waleti isichomoke kwenye mfuko wa nyuma
Ndio yale ya yule msanii wa Bongo Movie aliyezimia huku kashikilia leso.Ila Masawe kazimia kishujaa sanaa,mkono mmoja kabana waleti isichomoke kwenye mfuko wa nyuma
Akome
Yeah, alikuwa kashaanza kuzidiwa, ila alikuwa anajikaza tuHapo mwisho kweli walikosa utu jmn dahh
yaonekana alikua anajitahidi tangu mwanzo mana alikua kama anainama hivii
I hope anaendelea vizuri
Mtu akizimia unamwambia Simama?
FRANCIS DA DON,
Wacheni utani huyu bwana sidhani hata elfu tano alikuwa nayo mfukoni, kachoka mno, hizi kazi Bora tukapime matikiti tukauze barabarani Kama JPM alivyoshauri
Kwahio ulitaka afe ?!Hiki ndicho kishindo cha awamu ya tano
Wavivu hali mbaya
Huyo mkurugenzi ndio michezo yao wanapata Tenda halafu hawana vifaaa vya kufanyia kazi anataka kufanya kazi abaki na cash kubwa mfukoni
Ujanja ujanja mwingi ....yaani huyo nadhani kajifunza kabisa na alistahili
Maana wachaga kwa pesa !! Na mwezi huuu