Waziri Selemani Jafo amsema Mkurugenzi wa SCOL Building Contractors Limited hadi akaanguka na kuzimia

Waziri Selemani Jafo amsema Mkurugenzi wa SCOL Building Contractors Limited hadi akaanguka na kuzimia

Cha kushangaza pamoja na kuzimia kwake
Mchaga kashikilia wallet yake.. [emoji23]
 
Duuh hatari nimewavulia kofia wazaramo huyu ni mwanaume amemxzimizha mbaba wa wa2 je mwanamke si anaua kabisa
 
Hapo mwisho kweli walikosa utu jmn dahh

yaonekana alikua anajitahidi tangu mwanzo mana alikua kama anainama hivii
I hope anaendelea vizuri
Yeah, alikuwa kashaanza kuzidiwa, ila alikuwa anajikaza tu
 
Ni kweli kachelewesha kazi,na kwa sababu hiyo ni kweli hafai kupewa kazi,sasa ulitaka arembwe rembwe.This is a no nonsense government kwa hiyo ni lazima kila mtu awajibike ipasavyo ,asiyeweza akae pembeni.
 
Mtu akizimia unamwambia Simama?

Huu utawala una Watawala vichaa na wendawazimu....!!!Like daddy(JPM) like son(Jafo)!!!
Hawana utu, ubinadamu wala ustaarabu ni sawa na mahayawani tu! Mtu anaposhikwa na hali ya kuanguka,kuzimia au kuchanganyikiwa kitu cha kwanza ni HUDUMA YA KWANZA!! Mtu unamsema mpaka Pressure au Sugar inapanda mpaka zaidi ya kiwango anaanguka halafu bila aibu unamwamuru asimame badala ya kuomba msaada wa FIRST AID!!!Nonsense!
Kwa akili ya JPM na Jafo watakuwa walipigiana simu za KUPONGEZANA kwa yaliyotokea kwa Mkandarasi...!!
Very sad!
 
FRANCIS DA DON,
Wacheni utani huyu bwana sidhani hata elfu tano alikuwa nayo mfukoni, kachoka mno, hizi kazi Bora tukapime matikiti tukauze barabarani Kama JPM alivyoshauri

Hapa ndipo linapokuja swala la hekima, busara na maarifa au utu/ubinadamu katika ku-handle issues iwe ni publicly au privately!

Kiongozi anatakiwa awe na upeo wa kusimamia na kushughulikia jambo katika mazingira tofauti tofauti...!!!
Waziri Jafo anaona kabisa Mkurugenzi wa SCOL amechoka na kamwambia hadharani kuwa umechoka...!!!Kwa mtu mwenye busara alitakiwa asimwambie pale kwa kutumia hekima na busara kama Kiongozi alitakiwa kuitisha kikao na Mkandarasi ofisini kwake wazungumze uso kwa uso ili Jafo ajiridhishe kama SCOL wanachangamoto gani mpaka kushindwa kumaliza kazi kwa wakati...!!!

Hizi tabia za kuji-MWAMBAFY za KUTUKANA, KUDHALILISHA na KUFOKEA watu mbele ya Hadhira na Vyombo vya habari ni ULIMBUKENI na ULEVI WA MADARAKA.

Kwa mfano Jafo alishindwa nini kurudi ofisini kwake na kumwandikia SCOL ajieleze na kusudio la Jafo kutaka sipewe kazi nyingine popote Tanzania? Hivi Jafo hajui kwamba huyu SCOL kazi za kandarasi ndizo zinazomfanya apate MKATE(bread winner)kila siku na familia yake??Kumwambia asipate kazi popote Tanzania ni kutaka huyu mtu afe au apotee kabisa!
Huu ni UKABURU na UONEVU wa hali ya juu sana.
 
Huyo mkurugenzi ndio michezo yao wanapata Tenda halafu hawana vifaaa vya kufanyia kazi anataka kufanya kazi abaki na cash kubwa mfukoni

Ujanja ujanja mwingi ....yaani huyo nadhani kajifunza kabisa na alistahili

Maana wachaga kwa pesa !! Na mwezi huuu
 
Huyo mkurugenzi ndio michezo yao wanapata Tenda halafu hawana vifaaa vya kufanyia kazi anataka kufanya kazi abaki na cash kubwa mfukoni

Ujanja ujanja mwingi ....yaani huyo nadhani kajifunza kabisa na alistahili

Maana wachaga kwa pesa !! Na mwezi huuu

Wanasaikolojia wanasema ALWAYS THINK POSITIVE...!!!
Hivi kwa akili yako huyu Mkurugenzi awe amebania fedha mfukoni ili akubali kudhalilishwa,kufokewa na kutukanwa hadharani kiasi hicho kweli? Hapohapo anaambiwa ameshakatwa milioni 85 katika malipo yake wakti hiyo kazi ameshaikamilisha kwa zaidi ya 80%...!!!Huu kama siyo uonevu ni kitu gani?
 
Back
Top Bottom