Waziri Selemani Jafo amsema Mkurugenzi wa SCOL Building Contractors Limited hadi akaanguka na kuzimia

Waziri Selemani Jafo amsema Mkurugenzi wa SCOL Building Contractors Limited hadi akaanguka na kuzimia

Huyo mkurugenzi ndio michezo yao wanapata Tenda halafu hawana vifaaa vya kufanyia kazi anataka kufanya kazi abaki na cash kubwa mfukoni

Ujanja ujanja mwingi ....yaani huyo nadhani kajifunza kabisa na alistahili

Maana wachaga kwa pesa !! Na mwezi huuu
Unaijuwa kampuni ya Skoll au unajambajamba tu ili mradi uchambe mdomo?
 
Mazoea yana Tabu. Watanzania tulizoea Sana tabia hii. Kula pesa ZA kazi. Tukijua serikali itawachia
 
Huyo mkurugenzi ndio michezo yao wanapata Tenda halafu hawana vifaaa vya kufanyia kazi anataka kufanya kazi abaki na cash kubwa mfukoni

Ujanja ujanja mwingi ....yaani huyo nadhani kajifunza kabisa na alistahili

Maana wachaga kwa pesa !! Na mwezi huuu

Acha kuongea uharo hapa, ukiwasikiliza wanasiasa na kinachoendelea kwenye kazi ni vitu viwili tofauti kabisa, kulipwa sasa hivi ni ishu sema hayo mambo huwezi kuyasikia hadharani huko hazina na wizarani wanamuangusha sana mkuu
 
Mazoea yana Tabu. Watanzania tulizoea Sana tabia hii. Kula pesa ZA kazi. Tukijua serikali itawachia
Serikali imezowea kudhurumu, ila mtadhurumiana wenyewe tu mkulima hawezi kukubali dhuruma anakamata ndege tu.

Watu nchi hii wanadhurumiwa sana kuanzia makandarasi hadi wastaafu, nenda kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii kama Nssf ukaone dhulma ya serikali kule hawataki kulipa pesa za watu, wazee wastaafu wa Afrika mashariki wameshinda kesi lakini mpaka leo hawataki kuwalipa ndio sababu mmeanza kujitowa kwenye mahakama za kimataifa ili mbaki na hizi mahakama zenu ambazo Jaji mkuu kila siku anashinda ikulu kwenye show za kishindo cha awamu ya tano.
 
Mkurugenzi amepata mshtuko, Mungu amponye haraka arudi kazini
Kilichokuwa kinafuata hapo ni Kufa na angekufa tu, hatuwezi kufikia uchumi wa kati kwa kuwa na wakandarasi wazembe kama hawa...

Na hiyo decembe,30 ni mtego tu atanyang'anywa hiyo tenda akafuge kitimoto huko kilimanjaro...

Si mara ya kwanza huyu mkandarasi na kampuni kupuyanga...
 
Vicent Massawe akiwa na Membe awamu ya 4
IMG-20191206-WA0006.jpg
 
Kilichokuwa kinafuata hapo ni Kufa na angekufa tu, hatuwezi kufikia uchumi wa kati kwa kuwa na wakandarasi wazembe kama hawa...

Na hiyo decembe,30 ni mtego tu atanyang'anywa hiyo tenda akafuge kitimoto huko kilimanjaro...

Si mara ya kwanza huyu mkandarasi na kampuni kupuyanga...
Unavyoongea kwa hasira kama amekupora mume
 
USHAURI TU KWA MAKANDARASI ILI SUALA LA SKOL LISIJIRUDIE
20191206_134908.jpg

Kwa makandarasi walio wengi, hawazitumii sheria na wanasheria kuhusiana na mikataba.

Kwa mujibu wa Standard Conditions of Contract za serikali, wengi hawajui kuwa unaweza kuusimamisha mkataba kama hujalipwa ndani ya siku 28 baada ya malipo kuidhinishwa.

Zikipita siku 28, mkandarasi anatoa 14 day notice kujitoa kwenye mradi na kuondoka site.
(Clause 63.1 (b) attached.

Deni ambalo halijalipwa litabaki kuwa deni linalo subiri nguvu ya sheria.

Tuliyoyaona Dodoma kwa SKOL yanatosha.

Attachments:

Mkuu huyo mtu ndio mmiliki wa skol sidhani km unaweza kumdharau hivyo. Always anavaa hivyo au ovaroli usimchukulie poa. Ana mashine za construction kibao halafu unaongelea buku 5.
Nadhani hata jafo hamjui vizuri , kuna maisha baada ya kustaafu . Mkandarasi mkubwa Skol mbona ,kuna tatizo ,wakae nae chini ,sio maswali ya kukebehi au kusemwa mbele ya camera ,hata crb na Cata wameliongelea
 
Mchaga na uinjinia wa barabara ni wapi na wapi. Fani ya mchaga ni kupita juu barabara akiwa na bidhaa mkononi kwenda kuuza, hamuoni hata ndula alizotinga ?
 
Hawa wazaramo inaonekana wana nongwa sana

Wakti mwingine ni malezi na tabia ya mtu binafsi(uncultured behaviour)!
Mbona mzee Kikwete hakuwa na tabia za kihunihuni kama za Jafo?Jafo ni mhuni perce....! Hajatosheka na kuvuruga Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bado anataka kuua watu kwa uropokaji wake!!Huyu jamaa hafai kabisaaaa!
 
Hali so nzuri Kwa wakandarasi

Unachosema bro ni kweli kabisa..!!
Wakandarasi wazawa wana hali ngumu sana Utawala huu. Barabara kama hiyo (1.8km)unakuta anapewa Mchina kwa vile anatoa cha juu..!!Chinese are very corrupt ndo maana kandarasi nyingi za majengo, barabara na madaraja wanapewa wao.
Wakti mwingine Wachina wako smart sana wakitoa rushwa kubwa zaidi mradi huo utakuwa chini ya kiwango for sure..!!!
 
Back
Top Bottom