Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Hapana
Kwahio ulitaka afe ?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio ulitaka afe ?!
Hawa wazaramo inaonekana wana nongwa sanaJafo kweli Mzaramo, Mzaramo anakusema mpaka unakufa.
Unaijuwa kampuni ya Skoll au unajambajamba tu ili mradi uchambe mdomo?Huyo mkurugenzi ndio michezo yao wanapata Tenda halafu hawana vifaaa vya kufanyia kazi anataka kufanya kazi abaki na cash kubwa mfukoni
Ujanja ujanja mwingi ....yaani huyo nadhani kajifunza kabisa na alistahili
Maana wachaga kwa pesa !! Na mwezi huuu
Huyo mkurugenzi ndio michezo yao wanapata Tenda halafu hawana vifaaa vya kufanyia kazi anataka kufanya kazi abaki na cash kubwa mfukoni
Ujanja ujanja mwingi ....yaani huyo nadhani kajifunza kabisa na alistahili
Maana wachaga kwa pesa !! Na mwezi huuu
Serikali imezowea kudhurumu, ila mtadhurumiana wenyewe tu mkulima hawezi kukubali dhuruma anakamata ndege tu.Mazoea yana Tabu. Watanzania tulizoea Sana tabia hii. Kula pesa ZA kazi. Tukijua serikali itawachia
Alafu wewe ungepata faida gani?Acheni ubabaishaji zama zimebadilika ,angekufa tu mammaee!
Kilichokuwa kinafuata hapo ni Kufa na angekufa tu, hatuwezi kufikia uchumi wa kati kwa kuwa na wakandarasi wazembe kama hawa...Mkurugenzi amepata mshtuko, Mungu amponye haraka arudi kazini
Hujaona wallet alivyoishikilia vizuriFRANCIS DA DON,
Wacheni utani huyu bwana sidhani hata elfu tano alikuwa nayo mfukoni, kachoka mno, hizi kazi Bora tukapime matikiti tukauze barabarani Kama JPM alivyoshauri
Unavyoongea kwa hasira kama amekupora mumeKilichokuwa kinafuata hapo ni Kufa na angekufa tu, hatuwezi kufikia uchumi wa kati kwa kuwa na wakandarasi wazembe kama hawa...
Na hiyo decembe,30 ni mtego tu atanyang'anywa hiyo tenda akafuge kitimoto huko kilimanjaro...
Si mara ya kwanza huyu mkandarasi na kampuni kupuyanga...
Hiyo kazi hakulipwa?Mmezoea vya kunyonga hapa sio mahali pake,vimbeni mpasuke,moto ni ule ule.You are funny and stupid at the same time.
No nonsense halafu hulipii kwa wakati kazi ulizoingia mikataba?
Hali so nzuri Kwa wakandarasiFRANCIS DA DON,
Wacheni utani huyu bwana sidhani hata elfu tano alikuwa nayo mfukoni, kachoka mno, hizi kazi Bora tukapime matikiti tukauze barabarani Kama JPM alivyoshauri
Nadhani hata jafo hamjui vizuri , kuna maisha baada ya kustaafu . Mkandarasi mkubwa Skol mbona ,kuna tatizo ,wakae nae chini ,sio maswali ya kukebehi au kusemwa mbele ya camera ,hata crb na Cata wameliongeleaMkuu huyo mtu ndio mmiliki wa skol sidhani km unaweza kumdharau hivyo. Always anavaa hivyo au ovaroli usimchukulie poa. Ana mashine za construction kibao halafu unaongelea buku 5.
Hawa wazaramo inaonekana wana nongwa sana
Hali so nzuri Kwa wakandarasi