Bora bangi inatoa moshi wa kujifukizaNawaza kujifukiza na bangi sijui kama serikali itakuwa bega kwa bega na mimi.
Katika harakati za kupambana na janga la virusi vya corona, Waziri Selemani Jafo amependekeza kuanzishwa kwa wiki ya nyungu kitaifa. Wiki hiyo itatimiza upigaji wa nyungu asubuhi, mchana ma usiku. Amewaasa watanzania kuto kebehi upigaji wa nyungu kwa kuuita kama uganga wa kienyeji na kusisitiza ulaji wa vyakula asili kama mapapi,ubuyu na kisamvu ambavyo vinaweza kuimarisha kinga ya mwili.
Kazi kweli kweli.Hawa ndio watu waliopewa dhamana ya uongozi nchini.
Dim-witted dopey.
Hakuna hata moja lenye evidence based researchMajamaa mara maombi mara nyungu.
Hata hayaeleweki
Unaijua nyungu ? Tukipiga ya kitaifa tutatengeneza tatizo kubwa kuliko hata hiyo COVID-19. Tunakoelekea tutaamsha na mizimu iliyolala, tutatafutana hata WHO watashindwa kuja kutusaidia.Hakuna hata moja lenye evidence based research
WHO wamesha nawa mikono sisi hatufuati ushauri waoUnaijua nyungu ? Tukipiga ya kitaifa tutatengeneza tatizo kubwa kuliko hata hiyo COVID-19. Tunakoelekea tutaamsha na mizimu iliyolala, tutatafutana hata WHO watashindwa kuja kutusaidia.