Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao wenyewe time management hawana,unategemea nini kwa watumishi wao. Hivi kiongozi ukijenga tabia ya kuwahi angalau dk5 kabla ya tukio unalotakiwa kwenda, na ikawa ndiyo tabia yako,unafikiri kuna mtu atakuwa anachelewa? Kiongozi anachelewa hadi masaa kwenye matukio unategemea nini!Yana mwisho kama ya wengine yalivoanza
Watu walipokuwa wanaona picha ya Magufuri wanaogopa, tunataka waziri wa hivyo, huyo atashtukiza ofisi ngapi?Mnaopinga mkienda kwenye hizo ofisi mkafanyiwa hujuma mtarudi hapa nakumpongeza Mh.Waziri alichokifanya,Heko kwako waziri lakini pia isiishie hapo watumbuliwe wote wanaofanya kazi kwa mazoea