Mnaopinga mkienda kwenye hizo ofisi mkafanyiwa hujuma mtarudi hapa nakumpongeza Mh.Waziri alichokifanya,Heko kwako waziri lakini pia isiishie hapo watumbuliwe wote wanaofanya kazi kwa mazoea
Wao wenyewe time management hawana,unategemea nini kwa watumishi wao. Hivi kiongozi ukijenga tabia ya kuwahi angalau dk5 kabla ya tukio unalotakiwa kwenda, na ikawa ndiyo tabia yako,unafikiri kuna mtu atakuwa anachelewa? Kiongozi anachelewa hadi masaa kwenye matukio unategemea nini!
Mnaopinga mkienda kwenye hizo ofisi mkafanyiwa hujuma mtarudi hapa nakumpongeza Mh.Waziri alichokifanya,Heko kwako waziri lakini pia isiishie hapo watumbuliwe wote wanaofanya kazi kwa mazoea